CLOUDS FM warusha live clip ya Lwakatare

Status
Not open for further replies.
Msitufanye wajinga!Basi hata video ya mauaji ya Daudi Mwangosi nayo iwekwe hewani alafu tuone kama kuna mtu atakamatwa au kuhojiwa!

Uhuru wa vyombo vya habari hapa bongo ni wa kinafiki!Jiulize hii clip ingehusu viongozi wa chama tawala ingefika hapa ilipofika?

Unalinganisha mauaji ya Mwangosi na hii clip ya huyo mburula? Ni vitu viwili tofauti kabisa.

Mauaji ya Mwangosi (kama yalikuwa caught on camera) ni graphic sana. Juu ya hapo, huyo bwana ana/alikuwa na familia (mke na watoto). Hivyo, suala la sensitivity linaingia katika mlinganyo.

Kwa hiyo, hata kama hayo mauaji yalikuwa ni tukio la habari lakini watu pia wanatakiwa ku-exercise good judgement katika kutoa habari za aina hiyo.

Mauaji ya Mwangosi na huu umburula wa Lwakatare hayalinganiki hata kidogo.
 
Asante sana Nyani Ngabu. Kuna watu wanakurupuka kuanzisha mada. Kama hawana cha kuandika, wanyamaze kimya. Watulie kabisa. Wasome michango ya wengine.
ina tegemea na nia ya aliye weka, kama ni uchochezi basi ni kosa, kama ni yake ni kuonyesha upande wa pili unavyo fanya hila za propaganda kiasi hiki ni suala lingine.
 
Nimefungulia radio na kumsikia Kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la Mwananchi juu ya polisi kumkamata Lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.

Kuna tafauti gani ya hii video kuwekwa kwenye JamiiForums na kurushwa kwenye Clouds FM,nafikiri madhumuni ni moja watanzania tujue nini kinaendelea katika siasa zetu

freedom of expression
 
Mwenye makosa wakwanza ni aliyeiweka kwenye mtandao badala ya kupeleka polisi na ndio maana kwa falsafa hii clip ni fake ni kuchezeana akili ambako kuna hatarisha uhai wa taifa.Hivi Akirudi Lwakatare na ikajulikana Clip ni fake anawashataki polisi au aliyeiweka kwenye mtandao?
 
Huyo kibonde wanamskiliza ma-cameroon wenzake
 
What's not good for the gander should not be good for the goose.

Kama ni vibaya kwa Clouds kurusha audio ya hiyo video basi ni vibaya kwa JF na media outlet (new, social, or traditional) kuirusha pia.

yaan hata hujui...ni jf au goutube?..km hujui video ukisha upload huwezi kuizuia mana kila mtu anakuwa na acces nayo..ungemlaumu aliyeupload...ni makosa kwa clouds kucheza video kwa kisingizio eti iko youtube..nia ni kuchafua si kutoa habari na kujenga chuki dhidi ya anayetuhumiwa...
 
Safi sana,na ngoja iwekwe ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa wamemtoa jicho kibanda

Watu wengi hapa nadhani wana akili za kuazima....hivi pamoja na usomi wenu humu jamvini hamuwezi kuona ile Video imetengenezwa makusudi? Clouds FM wataonekana kuwa ni watangazaji wa vichochoroni kama wameiweka hewani bila kuona kasoro....JF ile video ya Lwakatare, tukiachana na waandishi professional au Editors wa video wanaojuakuna uhuni umefanyika....hata mwanafunzi wa secondary atajua ile video si ya kweli.

Humu kuna mibaba mizima inaitikia tuu..eeeh, ndiyo. Pasipo uchunguzi.
 
yaan hata hujui...ni jf au goutube?..km hujui video ukisha upload huwezi kuizuia mana kila mtu anakuwa na acces nayo..ungemlaumu aliyeupload...ni makosa kwa clouds kucheza video kwa kisingizio eti iko youtube..nia ni kuchafua si kutoa habari na kujenga chuki dhidi ya anayetuhumiwa...

One huyu naye.....sasa kama ni makosa kwa Clouds kuicheza audio ya hiyo video ina maana si makosa kwa JF kuendelea kuiachia hiyo video humu?

Ama kweli kama akili zenyewe ndiyo hizi basi tuna kila halali ya kuwa kwenye hali tuliyonayo!! SMDH!!!!
 
Nimefungulia radio na kumsikia Kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la Mwananchi juu ya polisi kumkamata Lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.

Clouds ni wakala wa Ccm hiyo haina ubishi
 
clouds fm punguzeni nyege, lakini siwashangai, nikikumbuka power BF gerald hando na wenzake walivyoshuparia na kuunga mkono swala la bunge kutorushwa live! na mwisho wa siku wakaumbuka. kazi yenu ilikuwa burudani sasa mmechukuwa kadi za ccm mmekuwa mak*****mazani.
 
yaan hata hujui...ni jf au goutube?..km hujui video ukisha upload huwezi kuizuia mana kila mtu anakuwa na acces nayo..ungemlaumu aliyeupload...ni makosa kwa clouds kucheza video kwa kisingizio eti iko youtube..nia ni kuchafua si kutoa habari na kujenga chuki dhidi ya anayetuhumiwa...
sioni tatizo kuchezea hiyo video,tatizo ni pale hiyo clip itakuja kuonekana ni habari za uwongo!
 
One huyu naye.....sasa kama ni makosa kwa Clouds kuicheza audio ya hiyo video ina maana si makosa kwa JF kuendelea kuiachia hiyo video humu?

Ama kweli kama akili zenyewe ndiyo hizi basi tuna kila halali ya kuwa kwenye hali tuliyonayo!! SMDH!!!!

hacha kujifanya chizi...tangu lini ukazuia video youtube??..video ukishaupload huwezi kuizuia..jf wana uwezo gani wa kucontrol youtube??..
 
Watu wengi hapa nadhani wana akili za kuazima....hivi pamoja na usomi wenu humu jamvini hamuwezi kuona ile Video imetengenezwa makusudi? Clouds FM wataonekana kuwa ni watangazaji wa vichochoroni kama wameiweka hewani bila kuona kasoro....JF ile video ya Lwakatare, tukiachana na waandishi professional au Editors wa video wanaojuakuna uhuni umefanyika....hata mwanafunzi wa secondary atajua ile video si ya kweli.

Humu kuna mibaba mizima inaitikia tuu..eeeh, ndiyo. Pasipo uchunguzi.

Lwakatare is innocent until proven guilty.

Hii sentensi yako kwenye RED inafinyanga finyanga kile chote ulichokiandika hapo juu. Sasa wata prove vipi guilty wakati kwa mtazamo wako ni innocent. Huoni kama hii ni contradiction.

Ni angalizo tu.
 
Kwa hl la Lwakatare Chadema mmeshikwa vibaya kwn tatizo lililopo ni Watz wengi mamburula hivyo ukijumlisha na propaganda za media kuaminika ni very easy. Anyway hebu tuwe na subira tuone mwisho wake nn! Ila hii ishu nzito kueleweka kirahisi rahisi tu.
 
KAMA VITA ITATOKEA TANZANIA clouds fm watakua Wamechochea kwa 100%.TCRA fungia kituo hiki mapema

Kama hiyo redio inaweza kutangaza habari za kichochezi na zinazofanyiwa upelelezi na polisi basi hatua za haraka kudhibiti redio hiyo zifanyike mara moja. Kama ambavyo hawakuamini yaliyotokea kwa kuuawa Mwangosi wafanye hivyo kwa clip hii pia.

Propaganda hizi zikiendelea, na kam vyombo vya usalama vitashindwa kidhibiti hali hii, nguvu ya umma ikishaka mkondo wake asilaumiwe mtu.

By the way, upepo huu si ajabu umekusudia hatua kali dhidi ya Mh Kawambwa iliyotangazwa na cdm.
 
Nimefungulia radio na kumsikia Kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la Mwananchi juu ya polisi kumkamata Lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.

Ujue clouse inaendeshwa na watu wasiokuwa na utimamu wa akili na waliofeli ktk elimu zao kigezo chao kikubwa cha kuajiriwa ni kuwa Mc na mtu wa blaa blaa nyingia, na nadhani ni moja ya chombo cha habari kinachotumika na ccm kwa maslahi yao
 
Watu wengi hapa nadhani wana akili za kuazima....hivi pamoja na usomi wenu humu jamvini hamuwezi kuona ile Video imetengenezwa makusudi? Clouds FM wataonekana kuwa ni watangazaji wa vichochoroni kama wameiweka hewani bila kuona kasoro....JF ile video ya Lwakatare, tukiachana na waandishi professional au Editors wa video wanaojuakuna uhuni umefanyika....hata mwanafunzi wa secondary atajua ile video si ya kweli.

Humu kuna mibaba mizima inaitikia tuu..eeeh, ndiyo. Pasipo uchunguzi.

Lwakatare is innocent until proven guilty.

clouds ilikuwa zamani...siku hizi imekuwa radio uhuru B..ila hacha waingie baharini wengi ili bahari iwafunike wote km wkt wa Musa..yaan mara zote uongo hujitenga na kweli itajulikana tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom