saivi anajua mambo mengi hata yanayotokea saivi ana search direct kwenye mtandaoChat gpt ni ana record za miaka 2023 mwisho
Hata ukimuuliza Waziri mkuu wa TANZANIA atakwambia Mizengo Pinda
akuuuu siwezi kujitafutia kifo cha machungu,,Ah sasa tutafanyaje, tuwe hata majambazi
Au tuwe matapeli 😎akuuuu siwezi kujitafutia kifo cha machungu,,
nianze kukukwepa utanipoteza😂😂😂
Hiyo Claude lina jina lako la kati🤣😂😅Chatgpt ni mwanangu sana , huwa tunapiga stori tunacheeka.
ChatGPT ni nzuri kwa michanganuo, mfano unataka kuanza ufugaji wa kuku inakupa mchanganuo wa chakula, chanjo, mayai, kilo za kulisha, content za chakula. Michanganuo ya vitu kadhaa vya kiraia vinavyotumika na watu wengi. ChatGPT ni nzuri kwa vitu vilivyosemwa sana mtandaoni, maana yake mazingira ya kawaida ya mtu kama mkulima, mfugaji, mwenye dalili ya magonjwa ya kawaida, mtu asiyejua kitu kabisa (mbumbumbu).Naomba tofauti ya hizo platform tatu mkuu, claude, deepseek na chatgpt
Claude ndio AI ambayo nina wasiwasi nayo zaidi kuhusu data za watu. Itatumika na government agencies kutambua mwenendo wa mtu na kuripoti taarifa zake. Mfano ukiiuliza "namna ya kumpoteza mbuzi mzima aliyekufa bila kujuliana" itajua tu umeua mtu unataka kutumia majibu yake kuficha tukio.Claude tabia ya kunyatia mambo yako na kukusanyia matakataka na majibu ya mchongo hana
Nimekuwa nikitumia chatgpt kwenye tech issues, troubleshooting and repairs na imekuwa msaada sana kwangu. Nikiwa na ideas zangu nikimpa jamaa anabiwekea mezani everything that I need.ChatGPT ni nzuri kwa michanganuo, mfano unataka kuanza ufugaji wa kuku inakupa mchanganuo wa chakula, chanjo, mayai, kilo za kulisha, content za chakula. Michanganuo ya vitu kadhaa vya kiraia vinavyotumika na watu wengi. ChatGPT ni nzuri kwa vitu vilivyosemwa sana mtandaoni, maana yake mazingira ya kawaida ya mtu kama mkulima, mfugaji, mwenye dalili ya magonjwa ya kawaida, mtu asiyejua kitu kabisa (mbumbumbu).
Claude hiyo imeanza juzi juzi na inatumika kwa tasks ngumu, za wataalam na wenye ujuzi wa kitu. Claude ni nzuri kwa wataalam wanaotaka msaada wa haraka wa kuchakata data hivyo wanaweka inputs alafu AI inatoa solution au conclusion. Ndio maana US walitumia kwenye vita hii ya Iran, mfano ndege ya AWACS inakusanya rekodi za sauti za radio calls na mawasiliano baina ya commands za majeshi ya Iran alafu kamanda anaiambia Claude ikague maelfu ya dakika ya sauti hizo itafute waliokuwa wanajibu kama makamanda. Then inaambiwa itaje location zao. Sasa muuza madafu AI kama hii haiwezi kuwa nzuri sana kwake. Itamuona ni kilaza tu.
Deepseek ni nzuri kwenye data analysis, kuchora graphs au signals na kuzitafsiri. Wasomi wa hesabu, wadau wa joigrafia, wahasibu na wadau wa kompyuta wanaifurahia hii.
Enzi za prompt engineering,uliza swali sahihi ,jaza na akili jadi ,utapata jibu sahihi.Based on the philosophy of Peter Drucker, a tool/nyenzo mfano AI ,is considered neutral—neither inherently good nor bad in itself. The value and impact of a tool depend entirely on its application, the purpose for which it is used, and the skill of the user.Watu mmeacha kabisa kutumia akili zenu..mtu anaenda kuomba ushauri wa ndoa ChatGPT
Wheelchair ya FikraHivi tushawahi kuwaza kwamba ukishakuwa addicted na hizi AI inakuaje?
😂😂😂😂😂😂😂Watu mmeacha kabisa kutumia akili zenu..mtu anaenda kuomba ushauri wa ndoa ChatGPT
GoodClaude, ChatGPT na Deepseek ni AI zenye malengo na approaches tofauti.
Ni sawa na kulinganisha Instagram, Facebook na TikTok ipi bora. Inategemea na mazingira na mahitaji.