Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

Kinachowasumbua wengi kupata majibu mazuri kwenye AI yoyote Ile ni poor prompting.watu wanaandika short prompt,unclear prompt alafu wanakuja kulalamika kuwa baadhi ya AI hazina majibu sahihi .
1 First of all master prompting
2 jua strength ya AI IPO wapi kila AI chat ot in strength sehemu Fulani kuzidi nyingine mfano
-Chatgpt best for conversation kuliko AI nyingine
_deepseek na Claude Kwa watu wa coding
-perplexity ai best for reaearching
Good
 
Claude, ChatGPT na Deepseek ni AI zenye malengo na approaches tofauti.

Ni sawa na kulinganisha Instagram, Facebook na TikTok ipi bora. Inategemea na mazingira na mahitaji.
Uko sahihi, Chatgpt ni kama windows OS ina very user friendly responses na inafanya vizuri kwa simple tasks.

Claude ni kama Linux OS ina very technical responses jargon kibao, inafanya vizuri kwenye complex tasks.

Deepseek ilipewa hype na kuwa overrated sana ilivyoingia.
 
Kawaida ya Wachina huwa wanajimwambafai kila kitu chao kinachokuja kimechelewa. Deepseek ina uwezo ila ilivyopambwa ni zaidi ya ilivyo.
 
Deepseek ni nzuri kwenye data analysis, kuchora graphs au signals na kuzitafsiri. Wasomi wa hesabu, wadau wa joigrafia, wahasibu na wadau wa kompyuta wanaifurahia hii.
Mkuu emu naomba namna nzuri ya kutumia hii deepseek. Nahusika sana na mambo ya data na codes. currently natumia subscription chatgtp na copilot kidogo.
 
Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo,

Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri kwa reasoning ya hali ya juu sana

Ahsante mkuu P h a r a o h niliona uzi wako nikaenda kuijaribu
Claude ni nzuri kwenye interactions, ila haimaanishi ni Bora kuliko AI nyengine kwenye kila kitu.

Watu wanaofanya role play na kuchat na Ai huwa Claude haina mpinzani.

Ila overall Hawa ma giant kina Deepseek, Gemini, Grok, Chatgpt etc wapo vizuri all around.

Unaweza ukatumia proxy pia Ku access premium features za hao ma giant na kupata version mpya ambazo zipo under pay wall.
 
Nisaidie namna ya ku access hii Claude maana nimeingia google nika search then Inataka ni Create account ila Kila niki create account inataka niweke namba ya simu nikifanya hivo Kwa kuweka +255 code ya Tanzania then namba yangu ya simu inasema phone number doesn't exist, nafanyaje mkuu kuepuka hii changamoto Ili niweze ku create account na ku access hii AI
 
sasa grok gemini na deepsek ndo m giant kuliko claude, nenda hata kamuulize chatgtp. yaani Claude na Chatgtp ndo ma giant na hadi sasa claude anamzidi vingi Chatgtp
 
Nisaidie namna ya ku access hii Claude maana nimeingia google nika search then Inataka ni Create account ila Kila niki create account inataka niweke namba ya simu nikifanya hivo Kwa kuweka +255 code ya Tanzania then namba yangu ya simu inasema phone number doesn't exist, nafanyaje mkuu kuepuka hii changamoto Ili niweze ku create account na ku access hii AI
jisajili kwakutumia email au google account ni rahisi sana
 
Kawaida ya Wachina huwa wanajimwambafai kila kitu chao kinachokuja kimechelewa. Deepseek ina uwezo ila ilivyopambwa ni zaidi ya ilivyo.
Nilidownload Chatgpt, Deepseek, Grok na Gemini, hadi sasa nimebaki nazo tatu, Deepseek nikaamua kuifuta, kwangu niliiona inazingua, Chatgpt na Gemini nimeona wapo vyema, ngoja nijaribu hiyo claude.
 
jisajili kwakutumia email au google account ni rahisi sana
Mkuu nimejaribu ila imenigomea, hapa Kuna image ya namna unaniletea Majibu nikijisajili
 
Attachments

  • DSC_0181.JPG
    DSC_0181.JPG
    809.4 KB · Views: 14
  • DSC_0180.JPG
    DSC_0180.JPG
    653.1 KB · Views: 13
  • DSC_0179.JPG
    DSC_0179.JPG
    537.6 KB · Views: 13
Mkuu nimejaribu ila imenigomea, hapa Kuna image ya namna unaniletea Majibu nikijisajili
fata hizi hatua ambazo mimi nikifanya na sijakutana na hiyo changamoto:

Usidownload na kusignup kupitia App yake

1. ingia Chrome search claude
2. itakuletea options sign up by email, sign up by Google account...
3. chagua sign up by Google account kisha endelea

hata ukisign up by email pia haitasumbua
 
Back
Top Bottom