Maisha ya luckdube na bob yalikuwa tofauti,bob alikuwa mwanamuzi vilevile mwanasiasa,bob alikuwa rastafari,bob aliuwawa sababu ya ujumbe wake,wakati luck dube hakuwa mwanasiasa,hakuwa rastafari,ila alikuwa mwimbaji reggae,na kifo chake kilitokata na ajali ya ujambazi,yaani majambazi walikuwa wanapora gari yake
Hii dunia inamambo mengi sana,ukisema umfate mwanadamu hutakuja kumuona mungu,Dini zimekuwa za wanadamu,wanachokitaka wao sio anachokitaka mwenyezi munguMkuu nakupa hii link ina lyric za baadhi ya nyimbo za bob, niambie nyimbo ipi amemsifu shetani, pia waweza taja nyingine ambayo haipo kwenye list. Wajulishe hata hao mashehe
Jah Lyrics: Artist - Bob Marley & The Wailers Lyrics
ha ha ha ha ha huna maana wewe.CIA walimuua mpaka Kanumba wetu..
JKN.Wafuatao ni wahanga wa mauaji yaliyofanywa na CIA
Bob Marley
JF Kennedy
Ernesto che Guevara
Patrice Lumumba
Hugo Chavez
Ongezea unaowajua wengine...
Curture hakufia stejini,alikufa wakati anafanya mazoezi ya kukimbia asubuhi ujerumani,ila ilikuwa inabidi aimbe jioni yakehivi culture amekufa ?
Dini ndiyo kipimo harisi cha upeo wa mwanadamu ulipoishia,kuna dini zingine unaabudu sababu ya ueleo wako kuwa mdogo au mkubwa,Swali zuri sana Da Hustla! Unajua kwa Marekani ilikuwa ni kama "kumtupa jongoo na mti wake kabisa!!!" Weusi wa Marekani waliuona Ukristo ni kama dini ya mkandamizaji, dini ya mbaguzi na hivyo wanamapinduzi wa mrengo mkali waliususa na kutafuta mbadala wake. Waliokuwa mstari wa mbele wakaanza kuukimbia kwanza utamaduni wa mtu mweupe na kuyachukua majina ya Kiafrika. Leroi Jones akawa Imamu Amiri Baraka, zikazuka shule kwa mfano mmoja iliitwa "Ujamaa Shule" (iliyoko1554 8th Street, NW, Washington, DC 20001) , weusi wakabuni sherehe yao iliyoitwa "Kwanzaa" (inayotumia falsafa ya Kiafrika tena kwa Kiswahili - kwa mfano kudumisha umoja, kujichagulia, imani, nia); na mengine kundi kubwa la Wamarekani weusi likahamia Ghana moja kwa moja. Nakumbuka hata lilikuwepo genge la wahuni Wamarekani weusi likijiita "Mau Mau." Hapo ndipo Elijah Muhammad naye akaanzisha dini ya Weusi tofauti na ile ya wababe wao (Ukristo) na kuuiita Taifa la Kiislamu (Nation of Islam), wakiuona Uislamu kama ni dini ya watu wengineo zaidi ya Wazungu wa kwao. Ndipo akina Cassius Clay wakajiunga na Taifa la Kiislamu na kubadili majina na kuwa Muhammad Ali, Malcolm X akawa Abdul Malik Al Shabbaz wengi wakafuata na kuyaacha majina yao na kuyachukua ya Kiislamu. Tukawasikia akina Maulana Karenga (zamani Ronald McKinley Everret), hata NBA ikawapata akina Kareem Abdul Jaabar (zamani akiitwa Ferdinand Lewis Alcindor). Kwangu huo ulikuwa ni ususaji wa mambo ya mkandamizaji katika nyanja ya kidini na utamaduni. Tumeiona hiyo India wakati Mohandas Karamchand Gandhi alipowaongoza Wahindi kususia nguo kutoka Uingereza na kuanza kufuma za kwao hadi leo wanapendeza sana wakivaa nguo zao. Unaweza kuyaita mapinduzi ya kiutamaduni na ya kiimani. Uislamu ulikuwa karibu sana kama dini mbadala isiyokuwa na mizizi ya kimagharibi. Kule Afrika Kusini aliishi mwanaharakati na mwandishi aliyeitwa Peter Abrahams. Ameandika vitabu kama vile "Mine Boy," "Tell Freedom" na "A Wreath for Udomo." Huyu aliususia Ukristo baada ya kuingia kanisani katika mji mmoja ukubwani mwake na kuhamishwa asikae viti vya mbele kwani vilitengwa kwa ajili ya weupe wa huko. Alipoinuka na kutoka nje hakurudi tena kanisani akawa Mkomunisti mpaka alipokufa muongo mmoja ama miongo miwili iliopita. Naye aliususa Ukristo wa Kaburu na kuupokea Ukomunisti uliokuwa ukikataa imani ya kidini. Ni ile ile kutupa jongoo na mti wake kabisa.
Ahahahahaha, unashangaa CIA kumuua Kanumba the great? Mbona nasikia ata bi Kidude ni hao hao CIA walimuua?ha ha ha ha ha huna maana wewe.
Unamfahamu mwanamuziki mmoja anaitwa burningspear?uliza alianza kuvuta bangi lini?na mpaka sasa anaumri gani,kwa nini hajafa,usikubari kukalilishwa vitu vingine kiurahisi,pombe inamazara makubwa kuliko bangi,kiuchumi na hata kijamii,Siamini hayo...conspirancy theories tu...mara Tupac,BIG,Jimmy Hendrix,Bob marley,Malcom x<Martin Luther jr n.k wote wameuwawa na CIA.Baadhi inawezekana.Kwa Bob nakataa..uvutaji ule wa bangi wa bob was not very healthy...
Unamfahamu mwanamuziki mmoja anaitwa burningspear?uliza alianza kuvuta bangi lini?na mpaka sasa anaumri gani,kwa nini hajafa,usikubari kukalilishwa vitu vingine kiurahisi,pombe inamazara makubwa kuliko bangi,kiuchumi na hata kijamii,
Definitely the Siaei ajenti...buzzing.Kwenye maelezo yako yote sijaona ukitaja MAJANI„„„„kivipi?
Sijapata kusoma article yoyote inayosema kifo cha senzo anahusika dube, lkn watu hudhani senzo aliuwawa na wahuni waliokua wamekodiwa na dube, labda sababu ya wivu, maana senzo alikua mpika kinanda wa dube na akaamua kujitenga na kuanzisha bendi yake, album yake ya kwanza "worshipping your love" 1999 ilifanya vizuri sana kwenye soko la ndani na hata nje ya nchi. Inasema kana dube alishtuka sana kwa huo ujio wa bwana mdogo na akaamua kumfutilia mbali. Binafsi siamini theory kwani mwaka 1999 dube alikua tayari ana mafanikio makubwa sana kimuziki.Vipi kuhusu ishu ya Senzo.......Dube alihusika.......?.......
Dube pia alikua havuti bangi wala kunywa pombe, alisali dhehebu la kikristo liitwalo shembe. (Shembe is the way)Maisha ya luckdube na bob yalikuwa tofauti,bob alikuwa mwanamuzi vilevile mwanasiasa,bob alikuwa rastafari,bob aliuwawa sababu ya ujumbe wake,wakati luck dube hakuwa mwanasiasa,hakuwa rastafari,ila alikuwa mwimbaji reggae,na kifo chake kilitokata na ajali ya ujambazi,yaani majambazi walikuwa wanapora gari yake
ya. SHEMBE IS THE WAY ni jina ya wimbo katika albam yake ya mwisho, inaitwa RESPECTDube pia alikua havuti bangi wala kunywa pombe, alisali dhehebu la kikristo liitwalo shembe. (Shembe is the way)
Mkuu angaalia tusije sikia uko sober house bagamoyo a k a kwa Child,chi chi chiiiiiWamejikomoa wenyewe,
Tunawashukuru kwa ku,uuwa Bob na kutuachia bangi zetu.Mbaya zaidi wangemuuwa Bob Marley na Wakamuuwa Bangi hapo wangenikera saaan
Msiovuta Bangi mnapata tabu sana,Sie wavuta Bangi tunawasiliana na Bob Marley na kuongea nae kama kawaida tu,na tunagonga tano.feelings za Ganja acha kabisa,yule jamaa mzimu wake upo pale.
Sasa ukitaka kuwasiliana na Bob na kupata ushauri wowote kutoka kwake,naomba tafuta Ganja kisha piga puri kama nne hivi,utaibukia Jamaica,Masharti yake tu mtu aiskustue wala kukusemesha wakati wa feelings,mwambie stim zinalipiwa.
Sasa kama wanaweza wauwe na Bangi.
ehhh,sasa ndio nimeandika nini !!!