Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,373
- 2,267
Aende UDOM au Muhimbili ila awe na vigezo sio vya kubahatisha.Kwa dodoma kuna udom, pale diploma zao za afya zipo chini ya TCU na wanakuchagua endapo utakua na chet cha form six na form four. kozi zilizopo ni: Diploma in pharmacy , Diploma in medical laboratory technology na Diploma in nursing. Pale udom hakuna mambo ya kuvaa sare kama nacte pale unavaa kinyumbani kama unasoma degree
Vigezo kwa form four minimum uwe na C nne za Phy,chem,bio na math
Kwa muhimbili sijajua ila pia kuna kozi za diploma zipo chini ya TCU kama mionzi n.k
Hivi kumbe huko diploma huwa kuna mambo ya kitoto toto hivyo?Aende UDOM au Muhimbili ila awe na vigezo sio vya kubahatisha.
Kuhusu vyuo vingine hakuna fimbo wala nini shida ukisoma vyuo hivyo ni kama upo advance isiyokua na viboko ila mengine yote sawa mnabanwa vibaya.
Vyuo vya diploma vya afya jau ndugu ni kama mpo sekondari.Hivi kumbe huko diploma huwa kuna mambo ya kitoto toto hivyo?
Mkuu degree ya engineering unarudi kusoma diploma tena ya wito. Nini kimekukuta mpaka umekua hivyo???Kwema wakuu,
Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya.
Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari?
Yani hakuna mambo ya fimbo, adhabu, kuhesabu namba na kula kwa namba?
😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃huyu alifosi engineeringEngineering (UDSM) ?? halafu uantaka kusoma diploma ya afya? nini kimekukuta wewe
Huyu mkuu kavurugwa, hapa anahitaji sala na maombi.😆 😆 😆 😆 😆 Nacheka kama mazuri mkuu achana na maswala ya kurudi nyuma pambana huko huko juu Kapige masters
Unaweza kukuta kuna mtu kampanga kuwa afya inalipa na ajira chap, wakati yeye na degree yake anasota tu kumbe life ni puzzle jigsaw your boxHuyu mkuu kavurugwa, hapa anahitaji sala na maombi.
na form six uwe na ufaulu upi?Kwa dodoma kuna udom, pale diploma zao za afya zipo chini ya TCU na wanakuchagua endapo utakua na chet cha form six na form four. kozi zilizopo ni: Diploma in pharmacy , Diploma in medical laboratory technology na Diploma in nursing. Pale udom hakuna mambo ya kuvaa sare kama nacte pale unavaa kinyumbani kama unasoma degree
Vigezo kwa form four minimum uwe na C nne za Phy,chem,bio na math
Kwa muhimbili sijajua ila pia kuna kozi za diploma zipo chini ya TCU kama mionzi n.k
Jamaa anakaba kila kona, Tamisemi wakileta option za wenye degree jamaa linapiga application, na wakileta option za wenye certificate/diploma bado jamaa halikwepeki, inshort huyu anataka kwenda sambamba na serikaliNacheka kama mazuri mkuu achana na maswala ya kurudi nyuma pambana huko huko juu Kapige masters
Nilisoma Engineering nikamaliza nikaenda MD (Medicine doctor ) nikamaliza sikiliza Moyo wako.Naomba unipm uko serious ,sikiliza moyo wako hutojitaKwema wakuu,
Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya.
Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari?
Yani hakuna mambo ya fimbo, adhabu, kuhesabu namba na kula kwa namba?
Siyo kuvurugwa!MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO.Nilisoma Engineering nikamaliza lakini ghafla tu nikatamani kwenda medicine(Degree) nafurahia Sana kazi yanguHuyu mkuu kavurugwa, hapa anahitaji sala na maombi.
Binafsi nilifanya hivyo ni Moyo tu.Hakuna cha Zaidi kubwa kuliko mimi zote nina degree ,Medicine na enjoy zaidi .Engineering (UDSM) ?? halafu uantaka kusoma diploma ya afya? nini kimekukuta wewe