sonnita
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,787
- 1,920
Hahhhahhhahhaa, nimecheeeka.Ndio nakuuliza bwana kingwendu unamfahamu maana nae ni mchina.
Hahhhahhhahhaa, nimecheeeka.Ndio nakuuliza bwana kingwendu unamfahamu maana nae ni mchina.
Asante sana. pia karibu hapa China!
wengi hawali lakini wachache wanakula. nyumbani kwangu hatuliBwana bakari wewe una kula mbwa hapo china..?
Ficha upumbavu wako wewe, mwenzio Yuko serious wewe unaropoka ujinga tu, unamjua baba yake?Baba ako ali tujenge uwanja wa taifa fake
kwa sababu kutumia vpn bila ya ruhusa ya serikali ni uhalifu...zaidi ya hayo bei ya vpn ni hali kabisaKwanini usitumie VPN?
kwa sababu kutumia vpn bila ya ruhusa ya serikali ni uhalifu...zaidi ya hayo bei ya vpn ni hali kabisa
ndiyo, ni ghali wala si hali"bei ya VPN ni ghali SANA"
ndiyo, ni ghali wala si hali
Vyuo vinne vinasomesha lugha hii, yaani: Chuo Kikuu cha Idhaa na Lugha ,Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing, Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Tianjin, Chuo Kikuu cha Lugha na Taaluma za Kimataifa cha Shanghai. Vyuo vingine vya lugha vitaanza kufundisha lugha hii miaka ijayo baadaye.Bwana Bakari waweza nitajia vituo au Shule zinazofundisha Kiswahili China?
kwa kawaida tuseme U HALI GANI na BEI NI GHALI SANA😄shukrani nimeelewa bwanaNaam hali sio fasaha,na gali sio fasaha.
Fasaha ni GHALI bwana bakari.
Naaam hapo sasa umefahamu.kwa kawaida tuseme U HALI GANI na BEI NI GHALI SANA[emoji1]shukrani nimeelewa bwana
Mpumbavu ni yule anae shobokea comment isiyo muhusu.. Anzisha thread yako unijibu... Mind your own business bi*chFicha upumbavu wako wewe, mwenzio Yuko serious wewe unaropoka ujinga tu, unamjua baba yake?
Kavitaja mbona tayari.Bwana Bakari waweza nitajia vituo au Shule zinazofundisha Kiswahili China?
kwahiyo we mchina unataka kutufundisha misamiati sisi wamiliki wa hii lugha? jiangalie ohooooooni walimubabu wetu (walimu wa walimu wetu).
kwahiyo we mchina unataka kutufundisha misamiati sisi wamiliki wa hii lugha? jiangalie ohoooooo
Okayy.. sawasawa . Poleni sana. Wachina watiifu sana,nisikufundishe uhalifu.kwa sababu kutumia vpn bila ya ruhusa ya serikali ni uhalifu...zaidi ya hayo bei ya vpn ni hali kabisa