Chuo Chetu Kimeanza Kufundisha Kiswahili

Samahani bwana sina account ya youtube kwa sababu hatuwezi kutembelea youtube hapa China...

Ok sasa nimekuelewa asante hongera kwa kujua vizuri kiswahili tena kwa kuandika vizuri mno itakua imekuchukua miaka mingi pengine labda ulipata kuishi na tanzania labda kwa muda kidogo ila hongera sana
 
Asante sana bwana. baada ya kuhitimu nitafanya kazi na kuishi huko Tanzania
 
Alaa..samahani bwana nimekosea na neno kutembelea...
sijui maana yake, tafadali nieleze kidogo
Asante
Bwana bakari inajisahau kama umevaa vazi la uchina matokeo yake unaelewa na kutambua kila neno lisilo rasmi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
so Bwana Safuher, kutimba=kutembelea lakini neno hili silo rasmi?
 
Kwa kulitumia kwa maana ya kufika sio rasmi.

Hilo neno linatumiwa na baadhi ya lugha za mtaani likimaanisha kufika (sio kutembea)..

Mfano.. Nilitimba nyumbani saa sita usiku.
Kwa maana nilifika.

Kwa hiyo sentensi "nilitimba china mwaka fulani"
Maana yake nilifika china mwaka fulani.
 
nimeelewa, asante sana kwa maelezo yako bwana
 
Asante sana bwana. baada ya kuhitimu nitafanya kazi na kuishi huko Tanzania

Tunakusubiri yupo mchina mmoja maarufu tanzania anaitwa kwa jina la utani juma sharobaro ukija utapata watu wenye kutaka kujua zaidi china nadhani utaongeza msaada mana kwa sisi kibiashara china ndio tunapoweza kufanya na kukuza biashara zetu karibu sana tanzania
 
Back
Top Bottom