Chuo Chetu Kimeanza Kufundisha Kiswahili

Chuo Chetu Kimeanza Kufundisha Kiswahili

Sasa huyo mwalimu kakosea majina ya kiswahili inabidi upate yale ya kijijini. Sasa ukiitwa bakari utaonekana ustadhi au ukiitwa Frank utaonekana mfarisayo. Ila nadhani ungeuliza majina ya kiswahili yenye ubantu ndani yake kama, Tumwine, Boke, Lung'wecha, Nyangero, Lukuvi, Chibulunje, kikwete, Kachweka, Kapanga, Mwanjali, Mwakabonga....
jina hili BAKARI linatokana na Kiarabu au Kiajami sasa hivi watu wa Zanzibar wanapenda kuyatumia majina yanayotokana na Kiarabu km ABUDALLA, BAKARI, FATUMA nk
 
Hayo ni katika majina ya kiswahili bwana bakari.

Kiswahili kimechangiwa sana na kiarabu hivyo mpaka yale baadhi ya majina ya kiarabu nayo yamekuwa ni yetu waswahili kutokana na ule muingiliano
jina hili BAKARI linatokana na Kiarabu au Kiajami sasa hivi watu wa Zanzibar wanapenda kuyatumia majina yanayotokana na Kiarabu km ABUDALLA, BAKARI, FATUMA nk
 
Samahani Bwana lakini wana chura nchini China.
???
Hahahha bwana bakari china ondoa wasi wasi,barida barafu,mpango mzima mwake mwake haina kwere mia mia bwana bakari.

Umeshaoa bwana bakari(una mke)..?
 
Hahahha bwana bakari china ondoa wasi wasi,barida barafu,mpango mzima mwake mwake haina kwere mia mia bwana bakari.

Umeshaoa bwana bakari(una mke)..?
La😂sasa ni mwanafunzi tu...nitamwoa mchumba wangu baada ya kuhitimu wala si sasa😂😂😂
 
Ebooo!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Basi sawa usizini lakini mpaka uoe usije kunogewa na utamu sawa bwana bakari..?

La[emoji23]sasa ni mwanafunzi tu...nitamwoa mchumba wangu baada ya kuhitimu wala si sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa na wewe bakari, unasemaje shikamoo kwa vijana wenzako?!

Shikamoo unawaambia wazee watu waliokuzidi kuanzia miaka 15. Sasa sisi masela wenzako unasema shikamoo.... Acha undezi basi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sikujua umri wenu😂nilizaliwa mwaka 2000
 
Humu ni mtandao wa kijanja usitumie hiyo neno shikamoo ikaushie tu bwana bakari.

Ni sawa umri wako mudogo, wapaswa kuamkia
Ila subiri kidogo, humu wewe kaushia
usije jifanya mbogo, heshima kujizolea
ewe kijana bakari, tuliza wako mshono..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
sikujua umri wenu[emoji23]nilizaliwa mwaka 2000
 
Ebooo!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Basi sawa usizini lakini mpaka uoe usije kunogewa na utamu sawa bwana bakari..?
Alaa Bwana sielewi maana ya kuzini na kunogewa...tafadhali nieleze kidogo
 
Alaa Bwana sielewi maana ya kuzini na kunogewa...tafadhali nieleze kidogo
Kuzini ni kushiriki mapenzi na mwanamke kabla ya kumuoa

Na kunogewa maana yake ni kujaribu au kufanya kitu fulani ukapenda hicho kitu
Mfano umekula mbwa bakari china ukapenda ladha yake unaweza kusema "nimenogewa na ladha ya mbwa.maana yake umeipenda kweli kweli ladha ya mbwa
 
Asante sana mkuu...lakini sijawahi kula mbwa🐶😂😂😂
 
Back
Top Bottom