Chuo Chetu Kimeanza Kufundisha Kiswahili

Chuo Chetu Kimeanza Kufundisha Kiswahili

Urafiki gani usituchanganye apa,, izo swagger za kizamani nmo hatuna urafiki nanyie parasite
Relax brother, don't be angry, he is a good guy....... Lets make friends with him.... Okay, chill, relax dont be upset
 
Jamii forums uliijuaje mpaka umeweza kuweka mada?
Katika maelezo yako umesema miongoni mwa walimu waliokufundisha kiswahili yupo mkenya, lakini ukisoma maelezo yako kiswahili chako hakina element za kikenya bali ni kiswahili cha Tanzania kwa asilimia zote ilikuwaje ndugu bakari
Wakenya wanashobo sana na vitu vyetu
 
Shikamoo Bwana Chilumendo
Kiswahili cha Kenya kinatofautiana kidogo na cha Tanzania, kama vile mwalimu wetu ambaye anatoka Kenya alitwambia kuwa Wakenya wanasema BABA YA JUMA wala si BABA WA JUMA...lakini walimu wetu wengine Upendo na Johnny wamewahi kufanya kazi/kujifunza nchini Tanzania na wametwambia kuwa hizi zote ni sawasawa...
Hapana sio sawa, kiswahili cha Kenya ni mfu na ni kiswahili cha kuombea maji, si kiswahili chenyewe.... Sisi ndio wamiliki wa hii lugha na tunaitumia kwa 100% mijini na vijijini.

Bila shaka wanasema mlima kilimanjaro upo kenya na huko China,si ndio.... Pumbavu sana wale majitu.
 
Shikamoo ni kile tunachosema kwa wazee kuonyesha heshima zetu kwao, ni kweli ndugu yangu?
Sasa na wewe bakari, unasemaje shikamoo kwa vijana wenzako?!

Shikamoo unawaambia wazee watu waliokuzidi kuanzia miaka 15. Sasa sisi masela wenzako unasema shikamoo.... Acha undezi basi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alaa...hawali nyoka wenye sumu......
kwa kawaida sisi hula kuku, ng'ombe, kondoo, mbuzi, bata, samaki, ng*****(samahani ikiwa wewe ni mwislim) n.k Pia nilisikia kuwa wachache wanakula panya, tandu, nge, nyoka,paka......
Nahitaji kujifunza kichina
 
Alaa...hawali nyoka wenye sumu......
kwa kawaida sisi hula kuku, ng'ombe, kondoo, mbuzi, bata, samaki, ng*****(samahani ikiwa wewe ni mwislim) n.k Pia nilisikia kuwa wachache wanakula panya, tandu, nge, nyoka,paka......
Huku Tanzania waislamu ndio wateja wakubwa wa nguruwe so toa shaka.... Wanakataa hadharani ila huku vijiweni ndio wanaongoza kwa kutumalizia wakristo minofu ya kitimoto.

Ukija ntakupeleka ukaone....
 
Sasa huyo mwalimu kakosea majina ya kiswahili inabidi upate yale ya kijijini. Sasa ukiitwa bakari utaonekana ustadhi au ukiitwa Frank utaonekana mfarisayo. Ila nadhani ungeuliza majina ya kiswahili yenye ubantu ndani yake kama, Tumwine, Boke, Lung'wecha, Nyangero, Lukuvi, Chibulunje, kikwete, Kachweka, Kapanga, Mwanjali, Mwakabonga....
Hata hayo ni makabila. Ataonekana Muhaya, Muha, Msukuma, Mnyakyusa.
 
Sasa huyo mwalimu kakosea majina ya kiswahili inabidi upate yale ya kijijini. Sasa ukiitwa bakari utaonekana ustadhi au ukiitwa Frank utaonekana mfarisayo. Ila nadhani ungeuliza majina ya kiswahili yenye ubantu ndani yake kama, Tumwine, Boke, Lung'wecha, Nyangero, Lukuvi, Chibulunje, kikwete, Kachweka, Kapanga, Mwanjali, Mwakabonga....
Hapana mkuu.

Kiarabu kimechangia kukuza kiswahili hivyo kumuita bakari ni jina la kiswahili pia kwa sababu limetokana na kiarabu ambacho kinna asilimia fulani kukuza kiswahili.
 
Vyuo vinne vinasomesha lugha hii, yaani: Chuo Kikuu cha Idhaa na Lugha ,Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing, Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Tianjin, Chuo Kikuu cha Lugha na Taaluma za Kimataifa cha Shanghai. Vyuo vingine vya lugha vitaanza kufundisha lugha hii miaka ijayo baadaye.
pia nchini China kuna training center zinazofundisha lugha mbalimbali za Kigeni
Asante Sana na hizo training centers ni zipi Bwana Bakari?
 
Hivi inakuwaje mkenya anafundisha kiswahili na ukirejea kenya kwa asilimia kubwa wanazungumza English na hata kiswahili chao ni broken sana na sio fasaha.

Mnaachaje kuchukua walimu kutoka Tanzania ambao wengi wao ni fluent swahili speakers na hii kwao ni official language plus Tanzanians ni 100% majority swahili speakers......?!

Hebu niambie we bakari mchina..... Kwanini hampo makini katika kutafuta walimu wa kiswahili?!
chuo chetu kimemchagua Mwl. Bosire na yeye ni mtaalamu anayejifunza lugha hii vizuri kabisa...kabla ya kutufundisha alifundisha Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Bayreuth nchini Ujerumani
 
Back
Top Bottom