Chuo Chetu Kimeanza Kufundisha Kiswahili

Yes mkuu anaonekana ni mchina huyu kijana.

Lau angekuwa mswahili huyu tungemuona kwenye thread mbali mbali naye akisokotana na wadau..
Huyu ni mwanafunzi wa kiswahili wamejaa sana humu JF na kuna wale wa pale UDSM Confucius wamepewa na majina ya Kibongo kabisa.Angalia nidhamu yake ya uandishi utaelewa
 
nasikia tukifika huko kwenu china mnatubagua sana sisi waafrika kiasi kwamba hadi baadhi ya hoteli huko hazipokei ngozi nyeusi..hii ilitokea last year.ni kweli ni wabaguzi ?
 
Shikamoo Bwana Chilumendo
Kiswahili cha Kenya kinatofautiana kidogo na cha Tanzania, kama vile mwalimu wetu ambaye anatoka Kenya alitwambia kuwa Wakenya wanasema BABA YA JUMA wala si BABA WA JUMA...lakini walimu wetu wengine Upendo na Johnny wamewahi kufanya kazi/kujifunza nchini Tanzania na wametwambia kuwa hizi zote ni sawasawa...
Baba ya juma ni broken mkuu
 
Back
Top Bottom