Chuo Chetu Kimeanza Kufundisha Kiswahili

Bakari China

Senior Member
Joined
Jun 12, 2019
Messages
162
Points
250

Bakari China

Senior Member
Joined Jun 12, 2019
162 250
Tuambie utaratibu wa kupata nafasi ya kufundisha Kiswahili huko!?
Alaa...vyuo vitano vinasomesha lugha hii, vingine kadhaa vitafundisha miaka ijayo baadaye.Pia jijini kuna training center za lugha. Kama ukitaka kufundisha nchini China, basi njoo kupata nafasi.
 

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
22,661
Points
2,000

idawa

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
22,661 2,000

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
4,030
Points
2,000

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
4,030 2,000
inabidi uongee kiingereza vizuri. kiswahili ni lugha mpya kwa wanafunzi wako(kama utawafundisha wale wa msingi), kwa hivyo kiingereza will be your bridge language.
Ndugu mcchina vipi kwanini mna mikuyenge anduje huko..?

Na je gwedegwede inye wadada wa huko wanatengenrza au..?
 

Forum statistics

Threads 1,352,855
Members 518,197
Posts 33,068,020
Top