Sasa mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Lugha na Taaluma za Kimataifa cha Shanghai(yaani Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University). Mwaka jana chuo chetu kimeanza kusomesha lugha hii, mimi ni mmojawapo kati ya wanafunzi wa mwanzoni. Tuna walimu watatu, wawili ni Wachina na mwingine Mwl. Bosire anatoka Kenya na anakuja kutufundisha lugha hii.
Nimechagua chuo hiki kwa sababu ninapenda lugha(nilipokuwa sekondarini nilipenda sanasana Kiingereza). Wakati nilipoingia chuoni, Kiswahili ni lugha mpya kwangu, lakini sasa naona Kiswahili ni rahisi sana.
Mwaka kesho nitakwenda UDSM kwa muda mrefu. Natumai kupata maendeleo makubwa huko.
Kabla ya kujifunza Kiswahili sikuelewa Tanzania hata Afrika ya Mashariki, lakini sasa hivi ninaelewa historia na jiografia ya Afrika ya Mashariki. Pia ningependa kufanya urafiki na watu wa Tanzania. Baaya ya kuhitimu nitafanya kazi nchini Tanzania kwa ajili ya kujenga urafiki wa China na Tanzania.
Vyuo vinne vinasomesha lugha hii, yaani: Chuo Kikuu cha Idhaa na Lugha ,Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing, Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Tianjin, Chuo Kikuu cha Lugha na Taaluma za Kimataifa cha Shanghai. Vyuo vingine vya lugha vitaanza kufundisha lugha hii miaka ijayo baadaye. “Kiswahili duniani” ni kweli kabisa.
Asante sana
Asante sana. pia karibu hapa China!Tunakusubiri yupo mchina mmoja maarufu tanzania anaitwa kwa jina la utani juma sharobaro ukija utapata watu wenye kutaka kujua zaidi china nadhani utaongeza msaada mana kwa sisi kibiashara china ndio tunapoweza kufanya na kukuza biashara zetu karibu sana tanzania
Asante sana Bwana KobabaBwana Bakari, ni vyema ungejiita Bakari Mchina. Hata hivyo kiswahili chako ni kizuri sana. Hongera!!
hatuwezi kutembea kwenye mitandao ya kigeni kwa kutumia App km: google playstore, facebook, youtube, vimeo ,whatsapp, jf n.k wala tovuti km: google, facebook, youtube, vimeo, twitter n.k lakini tunaweza kutembelea jf kwa tovuti wala si appBwana bakari, je jamiiforums umeipataje huko wakati umesema mitandao ya kigeni hairuhusiwi nchini mwenu? Shukrani
unaonekana wewe ni black man tu.... ila unajifanya ni mchinakwani mimi ni mhuni ndugu yangu[emoji23]
ndugu yangu mimi ni mchina wa kweli😂wala si mwafrika😄bado sijawahi kufika Tanzania, sasa ni mwanafunzi wa Kiswahili tuunaonekana wewe ni black man tu.... ila unajifanya ni mchina
Hongera kwa kujifunza kiswahili!ndugu yangu mimi ni mchina wa kweli[emoji23]wala si mwafrika[emoji1]bado sijawahi kufika Tanzania, sasa ni mwanafunzi wa Kiswahili tu
View attachment 1154714
Asante sana mkuu nitafanya bidii kujifunzaHongera kwa kujifunza kiswahili!
Kwanza Apo China Ni sangapi kwasasa Ni mchana,asubui,usiku au mchana
sasa nipo China bwanaBakari China hivi bwana kingwendu bado mko nae huko China?
sasa nipo China bwana
Bado una mawazo ya karne ya kwanza.watanzania waliopo china na wanazungumza Chinese nao wako kuiba?Wewe ni mmojawapo kati ya wanaoandaliwa na China kuja kutuibia? Unajua ili umuibie vizuri mtu ni muhimu mzungumze lugha moja
Hongera sana ndugu Bakari.Bidii yako itakufanya ufikie malengo yako.karibu sana TanzaniaAsante sana mkuu ! Lazima nifanye bidii kukuza urafiki wetu
kwa hivyo bwana, maana ya KINGWENDU ni MCHINA? siwezi kutafuta maana yake kwenye kamusiNdio nakuuliza bwana kingwendu unamfahamu maana nae ni mchina.
Shukrani Bwana pia karibu hapa ChinaHongera sana ndugu Bakari.Bidii yako itakufanya ufikie malengo yako.karibu sana Tanzania
Bwana bakari wewe una kula mbwa hapo china..?Shukrani Bwana pia karibu hapa China
Kwanini usitumie VPN?kwa kusudi la kulinda taifa letu kaka
sawa mchina!!!ndugu yangu mimi ni mchina wa kweli[emoji23]wala si mwafrika[emoji1]bado sijawahi kufika Tanzania, sasa ni mwanafunzi wa Kiswahili tu
View attachment 1154714