Chuo Chetu Kimeanza Kufundisha Kiswahili

Anhaa basi hapana junaha.
ndugu yangu Safuher siwezi kutembelea whatsapp kwa sababu whats app si available hapa China...
je una namba ya qq au wechat? hizi ni available nchini China, tukutane ktk qq au wechat
 
inabidi uongee kiingereza vizuri. kiswahili ni lugha mpya kwa wanafunzi wako(kama utawafundisha wale wa msingi), kwa hivyo kiingereza will be your bridge language.
KAMA NI KUONGEA KIINGEREZA HAKUNA SHIDA NINAFAHAMU!NIAMBIE KIGEZO KINGINE
 
KAMA NI KUONGEA KIINGEREZA HAKUNA SHIDA NINAFAHAMU!NIAMBIE KIGEZO KINGINE
kadi ya ruhusa za kufanya kazi kwa wageni, baada ya kufika basi uenda kwa bw.balozi ili kuipata. kingine hakuna. nakutakia ufanye vizuri hapa China
 
Pana vitabu vya Kiswahili tulikuwa tunanunua toka banda la China kwenye maonesho ya Sabasaba. Vilitolewa na shirika la china la kuchapisha vitabu kwa lugha za kigeni. Tufahamishe wapi tunaweza kuvinunua tena, maana Dar es Salaam havipo.

Mfano: Hekaya Za Avanti; Mfalme Kima Ambumunda Shetani Mfupa Mweupe; nk
 
toka 1970 hadi 1988 vitabu vingi vimekuwa kutafsiriwa kutoka Kichina kwa Kiswahili. Lakini sasa hivi hakuna mahali pa kuvinunua. wanatafsiri wa vitabu vile ni walimubabu wetu (walimu wa walimu wetu).
 
toka 1970 hadi 1988 vitabu vingi vimekuwa kutafsiriwa kutoka Kichina kwa Kiswahili. Lakini sasa hivi hakuna mahali pa kuvinunua. wanatafsiri wa vitabu vile ni walimubabu wetu (walimu wa walimu wetu).
Nipatie basi complimentary copies.Nataka kuvihifadhi kwa ajili ya vizazi vijavyo.
 
Nǐ hǎo péngyou, hěn gaoxing rénshì Nǐ.
Wǒ huì shuō yīdiǎn Zhōngwén,
Wǒ fēicháng ài gēn Zhōngguó rén shuōhuà.
 
Back
Top Bottom