Chuo Chetu Kimeanza Kufundisha Kiswahili

Sasa mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Lugha na Taaluma za Kimataifa cha Shanghai(yaani Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University). Mwaka jana chuo chetu kimeanza kusomesha lugha hii, mimi ni mmojawapo kati ya wanafunzi wa mwanzoni. Tuna walimu watatu, wawili ni Wachina na mwingine Mwl. Bosire anatoka Kenya na anakuja kutufundisha lugha hii.
Nimechagua chuo hiki kwa sababu ninapenda lugha(nilipokuwa sekondarini nilipenda sanasana Kiingereza). Wakati nilipoingia chuoni, Kiswahili ni lugha mpya kwangu, lakini sasa naona Kiswahili ni rahisi sana.
Mwaka kesho nitakwenda UDSM kwa muda mrefu. Natumai kupata maendeleo makubwa huko.
Kabla ya kujifunza Kiswahili sikuelewa Tanzania hata Afrika ya Mashariki, lakini sasa hivi ninaelewa historia na jiografia ya Afrika ya Mashariki. Pia ningependa kufanya urafiki na watu wa Tanzania. Baaya ya kuhitimu nitafanya kazi nchini Tanzania kwa ajili ya kujenga urafiki wa China na Tanzania.
Vyuo vinne vinasomesha lugha hii, yaani: Chuo Kikuu cha Idhaa na Lugha ,Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing, Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Tianjin, Chuo Kikuu cha Lugha na Taaluma za Kimataifa cha Shanghai. Vyuo vingine vya lugha vitaanza kufundisha lugha hii miaka ijayo baadaye. “Kiswahili duniani” ni kweli kabisa.
Asante sana
Wewe ni mmojawapo kati ya wanaoandaliwa na China kuja kutuibia? Unajua ili umuibie vizuri mtu ni muhimu mzungumze lugha moja
 
Hongera sana Mkuu.
Karibu Tanzania
 
Wewe ni mmojawapo kati ya wanaoandaliwa na China kuja kutuibia? Unajua ili umuibie vizuri mtu ni muhimu mzungumze lugha moja
najifunza Kiswahili kwa kusudi la kukuza urafiki kati ya Tanzania na China wala si kukuibia😡sisi Wachina tunapenda amani na urafiki. Watu wa Tanzania ni marafiki zetu wakubwa sana
 
najifunza Kiswahili kwa kusudi la kukuza urafiki kati ya Tanzania na China wala si kukuibia[emoji35]sisi Wachina tunapenda amani na urafiki. Watu wa Tanzania ni marafiki zetu wakubwa sana
Urafiki gani usituchanganye apa,, izo swagger za kizamani nmo hatuna urafiki nanyie parasite
 
Kwanza Apo China Ni sangapi kwasasa Ni mchana,asubui,usiku au mchana
 
Ahahhaha jamaa ni mchina kweli huyu ama fix huyu jamaa[emoji23][emoji23]
Ndo na mzumu apa usikute Ni awa madogo aliojifunza kichina Apo udom Sasa ana jidai kujibu na kichina Cha kubangaiza ili tuamini
 
Asante sana mkuu ! Lazima nifanye bidii kukuza urafiki wetu
Jamii forums uliijuaje mpaka umeweza kuweka mada?
Katika maelezo yako umesema miongoni mwa walimu waliokufundisha kiswahili yupo mkenya, lakini ukisoma maelezo yako kiswahili chako hakina element za kikenya bali ni kiswahili cha Tanzania kwa asilimia zote ilikuwaje ndugu bakari
 
Bakari Achana na mpumbavu huyo .. hajielewi .. hapa tanzania watu wa aina hii tunawaita mburula ..
Ahsante sana bwana... Watanzania wengi pia Wachina wengi wanatumaini kuwa urafiki wa Tanzania na China ustavi daima
 
Jamii forums uliijuaje mpaka umeweza kuweka mada?
Katika maelezo yako umesema miongoni mwa walimu waliokufundisha kiswahili yupo mkenya, lakini ukisoma maelezo yako kiswahili chako hakina element za kikenya bali ni kiswahili cha Tanzania kwa asilimia zote ilikuwaje ndugu bakari
Shikamoo Bwana Chilumendo
Kiswahili cha Kenya kinatofautiana kidogo na cha Tanzania, kama vile mwalimu wetu ambaye anatoka Kenya alitwambia kuwa Wakenya wanasema BABA YA JUMA wala si BABA WA JUMA...lakini walimu wetu wengine Upendo na Johnny wamewahi kufanya kazi/kujifunza nchini Tanzania na wametwambia kuwa hizi zote ni sawasawa...
 
Hongera Baraka kwa kuandika kiswahili Fasaha kuliko hata Mimi,

Swali la kizushi, hilo jina la Baraka ulilipatapataje ? Please
Shikamoo Bwana Livafan
mwalimu wetu Upendo(yeye ni Mchina, amepata jina lake kutoka mwalimu wake(Mchina tena😂😂😂) )alichagua majina kwetu ili atuite vipindini majina yetu ya Kiswahili wala si majina ya Kichina...
 
Shikamoo Bwana Livafan
mwalimu wetu Upendo(yeye ni Mchina, amepata jina lake kutoka mwalimu wake(Mchina tena[emoji23][emoji23][emoji23]) )alichagua majina kwetu ili atuite vipindini majina yetu ya Kiswahili wala si majina ya Kichina...
Bwana bakari unaelewa nini maana ya shikamoo?
 
Back
Top Bottom