Chuo Chetu Kimeanza Kufundisha Kiswahili

alaa...Kichina ni rahisi sana. ntafurahi sana kama ukitaka kujifunza
Nipe namba zako za watsapp unifundishe kichina na mimi nizidi kukufundisha kiswahili faswaha swariiyhatan...Nitumie namba zako PM tufundishane kijana
 
Nipe namba zako za watsapp unifundishe kichina na mimi nizidi kukufundisha kiswahili faswaha swariiyhatan...Nitumie namba zako PM tufundishane kijana
ndugu yangu Safuher siwezi kutembelea whatsapp kwa sababu whats app si available hapa China...
je una namba ya qq au wechat? hizi ni available nchini China, tukutane ktk qq au wechat
 
Back
Top Bottom