Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,080
- 10,437
Dah ... maji au papuchi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]beka nataka kujifunza kichina cha kuombea maji
Dah ... maji au papuchi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]beka nataka kujifunza kichina cha kuombea maji
Samahani bwana sina account ya youtube kwa sababu hatuwezi kutembelea youtube hapa China...Mi natamani kusema huyu sio mchina hivi una account ya chaneli youtube tukufate ingesaidia sana dah kiswahili kimenyooka nadhani unaandikiwa naomba chaneli yako youtube
nashukuru bwanaDah ...Beka...karibu mwana...[emoji2960]
Kwa nini china mmebanwa koo namna hiyo aise.Samahani bwana sina account ya youtube kwa sababu hatuwezi kutembelea youtube hapa China...
taifa la kikomunisti lile kaka.Kwa nini china mmebanwa koo namna hiyo aise.
Hata hamfurukuti na kujiwasapisha wala kujiyutubisha..?
Hekaya Za Avanti
Samahani bwana sina account ya youtube kwa sababu hatuwezi kutembelea youtube hapa China...
kwa kusudi la kulinda taifa letu kakaKwa nini china mmebanwa koo namna hiyo aise.
Hata hamfurukuti na kujiwasapisha wala kujiyutubisha..?
je ndugu Mokaze unataka kuelewa nini kuhusu maisha yangu? kama vile taifa letu, historia ya China, hali ya nyumbani kwangu au.......?Ndugu Bakari china.
Je unaweza, kama hutojali, kutupatia kidogo historia ya maisha yako??!
je ndugu Mokaze unataka kuelewa nini kuhusu maisha yangu? kama vile taifa letu, historia ya China, hali ya nyumbani kwangu au.......?
Ninataka kujua historia fupi ya maisha yako,
(1) Umejifunza kiswahili wapi??, mwalimu gani au ni njia ipi ulitumia kujifunza kiswahili??
(2) Hivi sasa unashughulika na nini??, Lugha ya kiswahili inakusaidia nini??
(3) Kwanini umependa kiswahili??
(4) Maendeleo au hali ya Lugha ya kiswahili huko China ikoje??
Ni maswali kama hayo yanayohusu lugha ya kiswahili tu.
Shukran/Asante.
Sasa mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Lugha na Taaluma za Kimataifa cha Shanghai(yaani Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University). Mwaka jana chuo chetu kimeanza kusomesha lugha hii, mimi ni mmojawapo kati ya wanafunzi wa mwanzoni. Tuna walimu watatu, wawili ni Wachina na mwingine Mwl. Bosire anatoka Kenya na anakuja kutufundisha lugha hii.Ninataka kujua historia fupi ya maisha yako,
(1) Umejifunza kiswahili wapi??, mwalimu gani au ni njia ipi ulitumia kujifunza kiswahili??
(2) Hivi sasa unashughulika na nini??, Lugha ya kiswahili inakusaidia nini??
(3) Kwanini umependa kiswahili??
(4) Maendeleo au hali ya Lugha ya kiswahili huko China ikoje??
Ni maswali kama hayo yanayohusu lugha ya kiswahili tu.
Shukran/Asante.
kaka yangu😂😂😂Mkuzeni huyo mchains,asije kuwa mbongo wa kijitonyama ila kazamia chaina mana anaandika kiiswahili faswaha.
Lakini angekuwa mbongo lazima tungemuona kwenye nyuzi za ajabu ajabu
Sasa mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Lugha na Taaluma za Kimataifa cha Shanghai(yaani Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University). Mwaka jana chuo chetu kimeanza kusomesha lugha hii, mimi ni mmojawapo kati ya wanafunzi wa mwanzoni. Tuna walimu watatu, wawili ni Wachina na mwingine Mwl. Bosire anatoka Kenya na anakuja kutufundisha lugha hii.
Nimechagua chuo hiki kwa sababu ninapenda lugha(nilipokuwa sekondarini nilipenda sanasana Kiingereza). Wakati nilipoingia chuoni, Kiswahili ni lugha mpya kwangu, lakini sasa naona Kiswahili ni rahisi sana.
Mwaka kesho nitakwenda UDSM kwa muda mrefu. Natumai kupata maendeleo makubwa huko.
Kabla ya kujifunza Kiswahili sikuelewa Tanzania hata Afrika ya Mashariki, lakini sasa hivi ninaelewa historia na jiografia ya Afrika ya Mashariki. Pia ningependa kufanya urafiki na watu wa Tanzania. Baaya ya kuhitimu nitafanya kazi nchini Tanzania kwa ajili ya kujenga urafiki wa China na Tanzania.
Vyuo vinne vinasomesha lugha hii, yaani: Chuo Kikuu cha Idhaa na Lugha ,Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing, Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Tianjin, Chuo Kikuu cha Lugha na Taaluma za Kimataifa cha Shanghai. Vyuo vingine vya lugha vitaanza kufundisha lugha hii miaka ijayo baadaye. “Kiswahili duniani” ni kweli kabisa.
Asante sana
Daah umetisha, kwaiyo unaonekana hujawahi kufika Tanzania, yaani natamani kufahamu kwa nini ulichagua hili jina "BAKARI".
Katika kipindi chetu cha kwanza mwalimu wetu Dada Upendo(Mchina) alichagua majina yetu ya Kiswahili. Alifikiri kuwa kutuita majina ya Kiswahili ni bora zaidi kuliko kutuita majina ya Kichina.Vizuri sana ndugu/Bwana Bakari China kwa maelezo yako fasaha. Kwa muda au kipindi cha miaka miwili tu mtu kuweza kujieleza kwa kiswahili jinsi ulivyojieleza kwa hakika unao uelewa mkubwa wa kiswahili.
Ningependa kujua jina Bakari umelipata vipi kwa sababu wewe ni Mchina,, ningetaraji uwe na majina kama , lee, ling, Feng au Dong nakadhalika (nk)??
Baaya ya kuhitimu nitafanya kazi nchini Tanzania kwa ajili ya kujenga urafiki wa China na Tanzania
Asante sana mzee. Nitafanya bidii kukuza urafiki wa China na TanzaniaKaribu sana Tanzania,
Umesema kwamba baada ya kuhitimu huku Tsnzania (UDSM) unatarajia kufanya kazi huku kwa ajili ya KUJENGA urafiki kati ya Tanzania na China, hapo nadhani ningekusahihisha siyo KUJENGA ila ni KUKUZA au KUIMARISHA, kwa sababu urafiki kati yetu (nchi zetu) upo toka miaka mingi, miaka ya 70, zama za Mwenyekiti Mao Tsetung na Katibu mkuu Chuen lai wa huko China na huku Tanzania kipindi hicho alikuwepo Rais Julius Nyerere na Makamu wake Rashid kawawa.
China Ilisaidia sana Tanzania katika miradi mingi ya maendeleo katika miaka hiyo, kwa kutaja michache tu;
1) kiwanda cha nguo cha urafiki
2)Reli ya Tazara
3)Ubungo farm implements.
4)Mangula machine tools workshop
5) Kiwira coal mine na kadhalika (nk)
Hivyo urafiki wetu ni wa miaka mingi hivyo kwa maneno mazuri hatujengi urafiki bali tunakuza/tunaimarisha urafiki.
Shukrani, ndugu Bakari China.Karibu Tanzania.
Kwa kweli Avanti ni Hatari 🙂 Abunuwasi hampati Avanti... I wish I could get its English version.Mkuu, kitabu hiki ni kizuri sana, ni zaidi ya hekaya za Abunuwasi. Huyu Avant ni zaidi ya Abunuwasi.😁😁😁
Hatari tupuKumbe JF kuna had wachina waswahili...