Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Kozi zingine hizi wangeachana nazo sasa, wawafundishe watu ujasiriamali, kilimo na ufugaj zingewasaidia sana walalahoi
 
Hahaha waacheni vijana watimize ndoto zao, ajira ni bahati ya mtu, na kila mtu ana yake.
 
Wadau mengi yanaongelewa humu na mengine ni sifuri tu, but mwenye kupata video clip ya Magu wakati anakabidhiwa uwenyekiti wa EAC pale ngurdoto ailete hapa.

Kuna kitu huyu mzee aliongea kuhusu hiyo hotel either ilikuwa off mic au recorded.
 
l
Hii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati, kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha, imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi! Kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .

Nakulilia Tanzania .
lia ukimaliza kachambe ulale
 
Duh! Mkuu Erythrocyte , asante kwa taarifa hii⁩, kwanza naomba ku declare interest, mimi ni mdau wa hotel za Mzee huyu. Kampuni yangu ya PPR, ndio ilikuwa ikiwatengenezea matangazo ya biashara, na kila mikutano mikubwa tukiitwa kuitangaza, na ni Mkutano fulani uliofanyikia Ngurdoto, ukanifanya waandishi wa Arusha niwavulie kofia, kwa kuwaheshimu kwa umoja!.

Comming back to Hotels, my favourite ni Impala na ndio makao makuu. The boss mchana kutwa anashinda kwenye usimamizi, anaingia kazini saa 5 usiku, hadi saa 12:00 asubuhi, daily, hakuna kulala na hakuna Jumamosi, Jumapili wala Sikukuu.

Kutokana na ratiba hii, sijui chakula cha nyumbani alikuwa anakula saa ngapi, lakini kwa wahudumu wa hotel na walivyo warembo, ilikuwa ni kazi na dawa!.

Kupitia ukaribu huo, kwanza ndio nikajua kumbe ni huyu jamaa huwa anaamua Mbunge wa Arusha awe nani, ni yeye aliyekuwa akimfund Lema japo ni mwana CCM, kama yule tajiri wa Dar alivyokuwa aki i fund Chadema japo yeye ni CCM, na angekuwa hai, CCM ingepigwa mweleka Arusha.

Kwa sisi wanye economic eye, the money ilitumika as capital kujenga hiyo business empire yake, sio income from the hotels only, alikuwa na side business ya big bucks changing hands usiku kucha. Kwa vile na mimi nafanya editing usiku kucha, ndio unaona people's movements with trunks full of $. This side business ndio inaingiza good money, mke, watoto hawajui na hawawezi na wazee wengine kwa sababu walikuwa wanajua the risks associated, hivyo they opted to keep the family away.

Alipoitwa kwenye makao yake ya milele, no one else knew how to go about. Na japo jamaa alikuwa ni Mchaga, lakini alikuwa na genes za Kisukuma za kupenda vi spring chickens vyeupe, na kupenda watoto, hivyo he had many with warembo na kuna mahali, alma nusra ningemvunjia heshima, ila after learning ni pumziko la Boss, I just said no, kwa heshima tuu, hata kama Boss hata jua!, the lady insisted nisiogope, kwasababu the boss picks every good tasty meals!. Hizo ni tabia za Kisukuma za wanawake wengi, watoto wengi na openly!.

Uzuri wa huyu Mzee, akikukubali, any price you tell anakulipa bila kusema punguza kidogo!. Mimi na team yangu ni kula bure, kulala bure!. He was more than boss, na baada ya kujikuta tunafanana tabia, tukatokea kuwa marafiki, jamaa anaongea na presidents!. Hizo connections ndizo zilikuwa zinafanya hotel zijae. Ameondoka na connections zake!.
RIP Don Mrema!.

P
RIP EL JEFFE MREMA
 
Back
Top Bottom