Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Mada nyingine za kitoto alafu bado unapata pata ka boom basi unaweza anzisha mada ya hivi, ngoja umalize uanze kuzunguka na bahasha
Wewe acha Hizo... Unaambiwa the more you save is the more you earn..... So don't thinks kwamba ukipata kazi ndo utaanza maisha
 
Ushamba tu hakuna lolote wengi wa mikoani wanataman kuja kuosha macho dar watu wana div 1 pt 3 wamesoma vyuo vingine na wapo vzr tu
Hili nalo neno mkuu mwenyew nipo mkoa, joto ni kubeaawa mno la kuja mjin dat y maomb ya udsm yalikuwa meng kitu kingin ni mentality iliojengeka akilin wma watu kuhus icho chuo, mfan mi nimekosa udsm coz ambayo ilikuwa inahitaj watu 45 tu sasa niach kwingin kisa ud wakat nina Two na kuna walioenda ud wana Two pia ko hao wanainizid vp uwezo? Af pia kuna koz hamna apao ko watu watake hapo tu.
 
Mbona unaongea kama division 1 ziko UDSM pekee. Wengi wenu mnategemea kuajiriwa, na waajiri wameshajua hizo lugha zenu ndio maana wanawaacha kwenye ajira, maana wanawajua badala ya kupiga kazi unashinda unawaambia wenzio nimesoma UDSM. Msiwaponze wahitimu wengine.

Anayeajiriwa ni mwenye vigezo mkuu. Hayo mengine ni ziada
 
Wewe acha Hizo... Unaambiwa the more you save is the more you earn..... So don't thinks kwamba ukipata kazi ndo utaanza maisha
Hajui anachokiongea Mkuu.

Anawaza bahasha tuu, sijui hajui matumizi ya mitandao
 
Back
Top Bottom