Tena sana.Kwa hiyo kusoma UDSM ni jambo Kubwa?????
UDSM chenyewe wanafunzi wanasoma wanahitimu hata kuandika insha hawajui.mnasoma nini na ajira hakuna
Ehheheh yaan wanavyojisifu sasa duu,,ni kupoteza tu pesaUDSM chenyewe wanafunzi wanasoma wanahitimu hata kuandika insha hawajui.
Hicho ndicho chuo kinagombaniwa.
Kweli ukiwa jangwani hata matope utaita maji safi.
UDSM kutupatia Kikwete na Magufuli tu tayari ni doa la kufanya mtu asitake kusoma hapo.Ehheheh yaan wanavyojisifu sasa duu,,ni kupoteza tu pesa
Heheheh,,,umenifanya nicheke na mie,,,ndio vile vyuo ukipiga simu haipokelewi wala email haijibiwiiUDSM kutupatia Kikwete na Magufuli tu tayari ni doa la kufanya mtu asitake kusoma hapo.
Kuna siku nilikuwa naangalia website yao,nilishindwa kuamua nilie au nicheke.
UDSMis a joke. A shell of its former self.Heheheh,,,umenifanya nicheke na mie,,,ndio vile vyuo ukipiga simu haipokelewi wala email haijibiwii
ujumbe kwa nani sasa?Sawa Baba. Lakini ujumbe ndio huo Mkuu. Ubaba wako hautabadili ujumbe huu
ulimbukeni tu hamna loloteKipo Chuo Kikuu kimoja tu Tz.Na kinafahamika .You just name it with full pomposity...Udsm.
Kitu cha kujifunza ndugu yangu:Habari Wakubwa.
Leo nikiwa katika biashara yangu walikuja vijana wawili. Vijana hao walionekana kukwaruzana kila mmoja akijaribu kumshinda mwenzake kukitukana chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Nikiwa kama Mhitimu kutoka chuo hicho. Nilivuta masikio yangu zaidi na umakini wote kutaka kujua nini sababu ya mvutano ule mkubwa.
Kwa nasibu vijana wale walikuja kwenye biashara yangu wakiwa bado wanararuana vikali kama wapo katika finali ya kombe la dunia.
Sauti yangu ya kuwakaribisha ndio iliweka nukta katika mabishano yao na kuwafanya wameze mafumba kadhaa ya mate jasho shingoni likiteremka kutokana na jua la Dar.
Niliwahudumia. Kisha nikawauliza kuhusu walichokuwa wakikitukana.
Ndio wakanipa filamu zima jinsi walivyo-apply Udsm na kutemwa kama kohozi. Walienda mbali zaidi nakusema kwa maksi walizopata walikuwa na haki za moja kwa moja za kuchaguliwa Udsm. Hapo ikabidi niulize ufaulu wao. Ndipo mmoja kwa kujitutumua akafungua mdomo wake na kusema ana divisheni two ya 11 mwenzake akadakia ana ya 10.
Nikawapa pole tuu na kuwaambia walifaulu tuu vizuri hivyo wa-appy vyuo vingine.
Mytake; jamani ninyi watoto mlioshuleni someni kama mnataka mambo makubwa. Sio unamaliza shule na kadivisheni two kako alafu unataka uchaguliwe chuo kikubwa cha vipanga.
Hakuna aliyekutuma ufeli. Kama unataka kusoma Udsm sharti upige msuli upate angalau kadivisheni one.
Kila mtu apambane na hali yake.
Udsm hoyeeeeee!
labda inapendwa kwa sababu chuo kipo mjini na ukongwe wake otherwise wanafunzi ni wakaiwaida sanaUdsm inapendwa.Wameomba 40,000 nafasi zipo 10,000
Sawa.ulimbukeni tu hamna lolote
baki hvo hvo na ubishi wako...nmekushindwaUdsm ni Oxford ya Tz acha ubishi.
Kipimo cha vipanga kwa nchi ya Tz ni matokeo ya kidato cha NNE na Sita katika taaluma.Sio kila mwanafunz ana ndoto za kusoma udsm; kwan kuna coz kibao za maana hazpo kwenye hicho chuo. .na kusema wanaosoma udsm ni vipanga ni uongo pia. .
WelcomeKipo Chuo Kikuu kimoja tu Tz.Na kinafahamika .You just name it with full pomposity...Udsm.