Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,489
- 6,883
Mada nyingine za kitoto alafu bado unapata pata ka boom basi unaweza anzisha mada ya hivi, ngoja umalize uanze kuzunguka na bahasha
Kwa hiyo unataka kusema kwenye vyuo vingine kama vile mzumbe, SUA, SAUT, Morogoro muslim university watu wenye division one hawapo!
Mambo mengine ni matakwa binafsi mtu anachagua aende chuo gani kwa sababu mbalimbali, mf.uchumi, ukaribu n.k
Kungekuwa na mtihani wa mwisho wa taifa vyuoni ndiyo ungeelewa naamanisha nini!!
The end justifies the means....
Pita west nipite East jambo la msingi tufike tunakotaka kufika...
Mwenzako mimi hata chuo sijafika ndugu nimepoteza mapena hata kabla ya pambano
Ni kweli mkuu, mana hata hapo udsm kuna watu wameenda tumekaa nao class moja na tulikuwa tunakimbiza vzr tu, lkn first choice zetu hazikuwa udsm japo kusoma udsm ni vzr ila kutokusoma pia hakupunguz maarifa...!!!Kwa hiyo unataka kusema kwenye vyuo vingine kama vile mzumbe, SUA, SAUT, Morogoro muslim university watu wenye division one hawapo!
Mambo mengine ni matakwa binafsi mtu anachagua aende chuo gani kwa sababu mbalimbali, mf.uchumi, ukaribu n.k
Kungekuwa na mtihani wa mwisho wa taifa vyuoni ndiyo ungeelewa naamanisha nini!!
ajabu watu wanaona UDSM chuo cha maana wakati 90% wanasoma watoto wa masikini.Wale wa usifananishe UDSM na mambo ya kijinga wamepungua siku hizi
Nimalize chuo kipi tena mkuu. Nimeshamaliza hilo pambano kitambo.Mada nyingine za kitoto alafu bado unapata pata ka boom basi unaweza anzisha mada ya hivi, ngoja umalize uanze kuzunguka na bahasha
Kingereza bila ela ni sawa na kupiga kelele.![]()
![]()
![]()
Jifariji mkuu.
Pita huko nipite huku ila mpaka sasa pambano moja umepigwa vibaya mno
Hata zoom ni nzuri inategemea na malengo ya mtu. Mfano kuna kazi nyingi za usekretari Nimeiona wanarecommend uwe umesoma magogoni pale ss kama ulisoma chuo kingine sijui inakuwajemweka college of wildlife naona cha maana hata kuliko hiyo UDSM
wamekaririHata zoom ni nzuri inategemea na malengo ya mtu. Mfano kuna kazi nyingi za usekretari Nimeiona wanarecommend uwe umesoma magogoni pale ss kama ulisoma chuo kingine sijui inakuwaje
Kweli mkuu kama wanafunzi wa udsm uwezo wao wa kufikiri uko hivi bora kusoma the amazon collagemweka college of wildlife naona cha maana hata kuliko hiyo UDSM
tehe tehKingereza bila ela ni sawa na kupiga kelele.
Kati ya bakhresa na prof yoyote hapa tz nani anapewa respect?


aise umenifanya nicheke sanamwambie huyo.Nani kasema ajira hakuna?
Endelea kufikiri ndani ya chupa tuu
Ni sawa.mweka college of wildlife naona cha maana hata kuliko hiyo UDSM