Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,662
Nifikiri nini tena wakati mimi napitia ulichokiandika? Unewaita waliopta division two wamefeli. Kisha ukabadili ukasema hata unaweza kupata division one lakini ukawa bado umefeli!Huwezi nielewa kama hufikiri vyema.
Kwa hiyo unamaanisha UDSM inachukua watu waliofaulu malengo na si maksi?