Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
- #181
Njoo Udsm huku uone.Watu kibao wana vidivision vibavyoning'inia na bado wanasoma udsm..
Div 2 ya 12 ni ya PCB ni sawa na Div 1 ya 7 ya HKL.
Fikiri mkuu
Njoo Udsm huku uone.Watu kibao wana vidivision vibavyoning'inia na bado wanasoma udsm..
wakati wa JK maisha yalikuwa matamu sana pale main campus.tatizo kubwa lilikuwa kunjiHajui wewe ni Baba yake. Huenda ulisoma enzi za Mkapa
unajua kuwa unapiga blah!! blah!! sana jamaa yangu, anyway let the udsm remain the home of silliesUnaweza ukawa umepata div 1 na bado ukawa umefeli Mkuu.
Hoyeee!!UDSM hoyeeeeeeeeww
Wewe huelewi period. Usisingizie lugha.Sielewi lugha uliyoitumia Mkuu. Tafadhali Mkuu tueheshimiane.
Ndio hivyo Mkuu. Mbona hiyo inaeleweka tuu.Labda useme baadhi ya coz. .lakini coz zingine mpaka 3 zipo
Nani kasema waliosomea Udsm ni bora kuliko wengine?Sijajua kwanini wanafunzi na wahitimu wa Udsm wengi hujiona wako bora sana zaidi ya wengine, Ni bora asimame mhitimu wa SUA ajisifi ( kama kuna ulazima) kwani wana mchango wa moja kwa moja kwenye jamii yetu, sio unasomea sheria uchwara ya udsm unakuja kuleta ujinga wako huku, hamna lolote la maana nyie.
Wee unakaa Dar alafu usome chuo cha Amazon forest sijui nini huko. Alafu anakuja mtu kutoka mkoa anasoma chuo kikubwa. Loooh!Watu wa mkoa bana utawajua tu
wakati wa JK maisha yalikuwa matamu sana pale main campus.tatizo kubwa lilikuwa kunji
Sina mana hiyo, nina mana una ulimbukeni fulani wa kimkoa mkoa bado mshamba wa huu mjii.Wee unakaa Dar alafu usome chuo cha Amazon forest sijui nini huko. Alafu anakuja mtu kutoka mkoa anasoma chuo kikubwa. Loooh!
Ni sawa na mzawa wa Dar anaishi Tandale alafu waMkoa aje na kuishi Masaki. Hii ni aibu
unajua kuwa unapiga blah!! blah!! sana jamaa yangu, anyway let the udsm remain the home of sillies
Uliwahi kusoma mkuu?Umetumia vigezo gani kusema 2 ya pcb ni sawa na 1 ya hkl???
Una hoja za kizamani sana yani inaonesha we ni typical mtu wa kuja...huyo wa PCB ukimpa somo la kiswahili nae anataga!Njoo Udsm huku uone.
Div 2 ya 12 ni ya PCB ni sawa na Div 1 ya 7 ya HKL.
Fikiri mkuu
Wewe huelewi period. Usisingizie lugha.
Hata lugha unayotumia wewe mwenyewe huelewi.
Do not flatter yourself.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu imekuwaje kwani? Mbona kama nimekuvuruga
Three za kitu gani Mkuu?So; usiseme kwamba wanaosoma udsm ni vipanga wakat 3 zimejazana kibao