Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,705
- Thread starter
- #121
Ni kweli Mkuu, japokuwa hiyo ni mada nyingine yenye uwanja mpana.[emoji3] [emoji3] unajua vijana wamebaki kubishana kushindanisha vyuo tu wakat wengi wao wapo kitaa bando wakitumwa na mzee chenji ikibaki wanunua vocha, ndo mana nimewambia watumie maarifa waliyoyapata.