Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Unajua nini maana ya Siasa Mkuu?

Watu uliowataja hamulingani kwa lolote labda tu kwa kuvuta pumzi na kwenda chooni.

Kikwete na JPM si kama unavyowachukulia. Ni watu Smart kuliko unavyoona. Ni kwa vile unaleta hisia katika suala la siasa.

Siasa ni mchezo wa kupanga matukio ili yalete maana kwa wananchi.
Mtu smart, rais, atashindwaje kujibu swali la kwa nini nchi yako masikini?

Mtu smart, rais, atajiaibishaje kwa kusema mawaziri wake aliowateua yeye mwenyewe ni wapumbavu
 
Mtu smart, rais, atashindwaje kujibu swali la kwa nini nchi yako masikini?

Mtu smart, rais, atajiaibishaje kwa kusema mawaziri wake aliowateua yeye mwenyewe ni wapumbavu na hivyo kujiita yeye mwenyewe mpumbavu kwa kuwateua wapumbavu kuwa mawaziri?
Swali hujibiwa kutegemea na mambo kadhaa. Mojawapo ni lengo la muulizaji. Ikiwa hakuna manufaa ya kujibu swali ni bora usilijibu. Wenye akili hili wanalijua na kulitumia. Hata Yesu alitumia mbinu hii.

JPM aliongea akiwa na dhamira mbalimbali. Na si kama alijibu kwa kuongozwa na ujinga.

Ujinga ni pale unapotaka kiongozi ajibu utakavyo
 
Mkuu mwenyewe kasoma kwa kuungaunga tu.. afu kusema UDSM ndio kimbilio la waliofaulu vizuri ni uongo tena wa kipumbavu kabisa.. nina jamaa zangu wana Div 3 na wapo hapo pia wengine ni diploma holders na wako hapo.. Sio kila mtu anapenda kusoma UDSM wengi hawapendi tena sana tu... UDSM ni chuo cha kawaida sana katka ishu nzima ya utoaji wa wahitimu walio smart...
Nakumbuka mwaka 2006 ,nimehitimu six nikawa nimeenda kumtembelea ndugu yangu na kadivision kangu ya point 4 ,duuu kufika mliman kupiga misele nakutana na wadada wamevaa vibaya maungo yao yanaonekana.Nikamwambia broo niliyekuwa nae tunapiga misele nikamwambia hiki chuo siombi na sikitaki kabisaaa ,kisa tu yale mavazi ya wale wadada.....Huyooo nikaenda Sua....
Chamsingi wasikate tamaa udsm ipo wataenda hata kuunga bando la chuo. Hayo tu
 
Habari Wakubwa.

Leo nikiwa katika biashara yangu walikuja vijana wawili. Vijana hao walionekana kukwaruzana kila mmoja akijaribu kumshinda mwenzake kukitukana chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Nikiwa kama Mhitimu kutoka chuo hicho. Nilivuta masikio yangu zaidi na umakini wote kutaka kujua nini sababu ya mvutano ule mkubwa.

Kwa nasibu vijana wale walikuja kwenye biashara yangu wakiwa bado wanararuana vikali kama wapo katika finali ya kombe la dunia.

Sauti yangu ya kuwakaribisha ndio iliweka nukta katika mabishano yao na kuwafanya wameze mafumba kadhaa ya mate jasho shingoni likiteremka kutokana na jua la Dar.

Niliwahudumia. Kisha nikawauliza kuhusu walichokuwa wakikitukana.

Ndio wakanipa filamu zima jinsi walivyo-apply Udsm na kutemwa kama kohozi. Walienda mbali zaidi nakusema kwa maksi walizopata walikuwa na haki za moja kwa moja za kuchaguliwa Udsm. Hapo ikabidi niulize ufaulu wao. Ndipo mmoja kwa kujitutumua akafungua mdomo wake na kusema ana divisheni two ya 11 mwenzake akadakia ana ya 10.

Nikawapa pole tuu na kuwaambia walifaulu tuu vizuri hivyo wa-appy vyuo vingine.

Mytake; jamani ninyi watoto mlioshuleni someni kama mnataka mambo makubwa. Sio unamaliza shule na kadivisheni two kako alafu unataka uchaguliwe chuo kikubwa cha vipanga.

Hakuna aliyekutuma ufeli. Kama unataka kusoma Udsm sharti upige msuli upate angalau kadivisheni one.

Kila mtu apambane na hali yake.

Udsm hoyeeeeee!
Ha ha ha umenikumbusha chuo changu, duh hapo hawapokei waliofail sema hapo nyuma tcu ilitaka kikihatibu
 
Hizi ni kelele usome sant. Nani sjui Ud sjui udom sijui wap mhimu ni kuweza kutumia elimu uliyoipata ipasavyo unaweza soma chuo kikbwa lakin ukashindwa kuhaulisha maarifa , elimu yako onesha katika maendeleo yako na sio kelele wakat mnajaza vyoo vya watu tu.
 
Swali hujibiwa kutegemea na mambo kadhaa. Mojawapo ni lengo la muulizaji. Ikiwa hakuna manufaa ya kujibu swali ni bora usilijibu. Wenye akili hili wanalijua na kulitumia. Hata Yesu alitumia mbinu hii.

JPM aliongea akiwa na dhamira mbalimbali. Na si kama alijibu kwa kuongozwa na ujinga.

Ujinga ni pale unapotaka kiongozi ajibu utakavyo
Ujinga huu wa kukwepa maswali ndio unaosababisha tuwe masikini mpaka leo,na wewe unautetea.

Na wewe unayo tabia hii.

Wewe umezaliwana kukulia chooni, ushazoea harufu ya mavi, akijamtu anayejua tofauti ya harufu ya mavi na hewa safi akakwambia hapakwako pananuka mavi huwezi kuelewa,utapinga na kuona unatukanwa.

Ndicho kinachoendelea hapa.

Hao kina JK na JPM wame/ wanaendesha nchi kwa ujinga kabisa, hayo partly ni matokeo ya elimu mbovu ya UDSM.

Na wewe unawatetea.

Wewe ni muhitimu wa UDSM?
 
Hizi ni kelele usome sant. Nani sjui Ud sjui udom sijui wap mhimu ni kuweza kutumia elimu uliyoipata ipasavyo unaweza soma chuo kikbwa lakin ukashindwa kuhaulisha maarifa , elimu yako onesha katika maendeleo yako na sio kelele wakat mnajaza vyoo vya watu tu.

Mkuu mbona unaongea kwa uchungu sana?
 
Ujinga huu wa kukwepa maswali ndio unaosababisha tuwe masikini mpaka leo,na wewe unautetea.

Na wewe unayo tabia hii.

Wewe umezaliwana kukulia chooni, ushazoea harufu ya mavi, akijamtu anayejua tofauti ya harufu ya mavi na hewa safi akakwambia hapakwako pananuka mavi huwezi kuelewa,utapinga na kuona unatukanwa.

Ndicho kinachoendelea hapa.

Hao kina JK na JPM wame/ wanaendesha nchi kwa ujinga kabisa, hayo partly ni matokeo ya elimu mbovu ya UDSM.

Na wewe unawatetea.

Wewe ni muhitimu wa UDSM?

Kwa hiyo Umasikini wa Tz umesababishwa na wasomi wa Udsm?
Looh! Hii Kali na sijawahi kuifikiri.

Mkuu Embu tulia kidogo akili ikae sawa.

Kikwete sio Mjinga Mkuu ashindwe kujibu swali kama lile. Kimya ni jibu la hekima kuliko majibu yasiyo na faida.
 
Ile ndio inaitwa chuo kikuu ya taifa bhana.

Karibuni watu wa Teofilo Kisanji najua mtatoa povu kama ndoo nzima
 
Nimevutiwa na bandiko lako na hasa kuhusu kuomba kudahiriwa UDSM na kukosa nafasi mwaka huu, Hii inanihusu kwa kuwa nina wangu wa karibu ambaye mkasa huu umemkumba pamoja na kuniaminisha huko nyuma kuwa lazima aingie UDSM kwa kuwa ana Division two points 13.

Tangu mwanzo nilikuwa nahisi kuwa ufaulu huo wa Division two points 10-13 niliutilia shaka na kutoamini kama chuo pekee hapa nchini kimeamua kushusha hadhi yake ya zamani na kudahiri chini ya kiwango chake cha awali. Naungana na wewe kuwapa pole hao wawili pamoja na wangu wa karibu ila wasikate tamaa wajipange kwingine.
Hyo division two 13 ya nchi gani.Achen ulimbukeni wa kishamba, et UDSM vipanga so what?Ujinga huu ndo unatufanya tuendelee kua maboya .Yaani majitu yanalingia jina la chuo badala ya kudemonstrate competently in actual life.This is purely childish argument
 
Kwa hiyo Umasikini wa Tz umesababishwa na wasomi wa Udsm?
Looh! Hii Kali na sijawahi kuifikiri.

Mkuu Embu tulia kidogo akili ikae sawa.

Kikwete sio Mjinga Mkuu ashindwe kujibu swali kama lile. Kimya ni jibu la hekima kuliko majibu yasiyo na faida.
Hujawahi kufikiri kwani hata kufikiri unajua wewe?

Ulichoandika hapo juu ni logical non sequitur.

Unaelewa ni nini hiyo?
 
Majibu yako yanakuonyesha umesoma UDSM.

Una utapiamlo wa fikra. Unakwepa maswali. Unatetea ujinga.

Majibu huweza kuwa dhahiri au yasiwe dhahiri.

Huwezi elewa kwa ubongo wa nyama ikiwa unapenda majibu ya kuchagua.

Kichwa cha mada yangu kingetosha kufunua kichwa chako. Lakini umekurupuka tuu. Unataka nikujibu maswali yako yakipuuzi ambayo ukisoma tuu kichwa cha mada ungepata majibu
 
Back
Top Bottom