Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
- #161
Kama umefeli usilaumu ikiwa hukuchaguliwa Udsm.Hili nalo neno mkuu mwenyew nipo mkoa, joto ni kubeaawa mno la kuja mjin dat y maomb ya udsm yalikuwa meng kitu kingin ni mentality iliojengeka akilin wma watu kuhus icho chuo, mfan mi nimekosa udsm coz ambayo ilikuwa inahitaj watu 45 tu sasa niach kwingin kisa ud wakat nina Two na kuna walioenda ud wana Two pia ko hao wanainizid vp uwezo? Af pia kuna koz hamna apao ko watu watake hapo tu.
Hiyo sentensi mbona inaeleweka.
Hapo kuna mambo kadhaa;
1. Aliyefeli akachagua Udsm
2. Ambaye hakuchaguliwa Udsm
3. Ambaye analaumu kutokuchaguliwa Udsm kwa kufeli kwake.
Wewe upo kundi lipi hapo?
Ikiwa hukuchagua Udsm mbona mada haijakulenga wewe.