Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Km huna option unaweza soma UKIWA NA MALEZI NA AKILI ZAKO KM LISSU na WENGINE WAKSOMA WAKIWA HAWAJAANDALIWA WAKATOKA KM ZITTO. Utaona product inakuwa nini.Zitto hakuwa na maadili imara na kujitambua.Ikawa rahisi kuchukua elimu ya kweli ya udsm na malaise zake. Sasa ndio hizi karate za kijamaa anacheza.Ni wa ligi ya nyumbani km akina chuji, boban na wengine. Wote hawa kelele zao ni bongo tuu ktk mfumo wa kutunza wajinga na kupe, ktk mfumo unaotunza watu wanaohamisha magoli ktk ushindani wa hoja na sio kuzuia magoli. Wote hawa ukiwaweka na kijana wa form 4 Kenya ktk jukwaa huru lisilo na wahuni wa ccm wanaoweza ingia kwa kushangilia hadi kuvuruga hoja, pasipo na wauliza maswali wenye wkili za kiwendawazimu km akina sam mahela.KItakachofuata utasikia watuw alimkosea adabu msomi wetu, watu walipendelea, watu waikuwa na chuki. Ni watu ocal km chuo chao local.
 
Ndio Elimu yetu hiyo mkuu. Ikiwa Udsm wanafanya hivyo je huko kwingine watafanyaje?

Tunahitaji mabadiliko makubwa sana kwenye elimu
Nani atabadilisha Kitila Mkumbo, Muhongo, mkandala..wataishia kuwadanganya kuwa tafiti zao hazifanyiwi kazi.Nao wakiwa mawaziri au hata maraisi hakuna kitu kitafanyika.Ila ile kweli itazidi kujidhihiri.Hakuna tafiti ila compilation ya idea za watu wasizozijua kihivyo ,zenye misamiati yenye sura nzuri ili kuwashtua wafu w akitanzania na kupiga makofi ya kutosha kuhadithiana ktk meza ndefu kuwa nani ni kichwa ktk hawa akina muhongo,mwakyembe na wengine.
 
Nina jamaa yangu kasomea UDSM BAED(Geo na linguistics). Sasa juzi kaja shule nnayofundisha kupigwa interview huku akiwa na mbwembwe nyingi anaitaja UDSM kila baada ya dk 5 kaenda kufanyiwa interview form 1 Geography kapewa subtopic ya climatic regions kasema equatorial region inaanzia 5-10degree N&S.
Karudishwa kwao mkuku huku akiwa anashangaa.
Teh teh, Kaleta habari za vilaza kuitana intellectuals wakati kasoma desa tuu maisha yake yote ya chuo, kisha kasikiliza lectures zenye story za propaganda toka kwa kaina mkndala na kitila mkumbo na Simba. Maprof ambao akili zao za kujua democrasia zimeishia kusema DEMOCRACY IS A GOVERNMENT OF THE PEOPLE FOR THE PEOPLE. bila kujua mapan yake, na kuwa democrasia ipo hadi ktk kila nyanja za maisha ya binadamu. Wanajiita manguli wa siasa .Wakiingia serikali ndio wanaviua nguo kwa jinsi hawajui democrasia. Ujamaa ni laana mojawapo ktk hii nchi.Kufikiri hakutakaa kuwezekane.
 
Nimesoma UDSM na nilikuwa na Div 2:10 nikiwa moja kati ya vijana kumi tu nchi nzima waliochaguliwa kusoma kozi yetu na mkopo nilipata na nikarudi kupiga masters na GPA yangu ya 2.9. Ni chuo kizuri sana natamani kila mtanzania angesoma pale. Sio vyema kukatisha vijana tamaa.
 
kwa hiyo kilichokupatia ni ukata wa wanafynzi ktk kozi yako?Ilikuwa ni kozi mpya?Kwanini hapakuwa na watu wengi haikutangazwa vyema?Vipi na ubora wahiyo kozi km ni mpya?Unadhani km ufaulu ni muhimu ,wewe na hiyo gpa yako utakuwa na ubora sakoni?Km kwa viwango vya udsm wanavyojinasibu kuwa kupata marks zao ndio kuwa bora, ila wewe hukuwa nazo hata kwa viwango vyao.Kwanini unatamani kila mtanzania aende pale? Una kipimo cha maadili au umakini wa akili yako kinachoweza thibitisha kuwa tamaa zako zin asifa ya kutiliwa maanani kihivyo?Umewahi soma chuo kingine zaidi ya hapo na kuweza jua kuwa hicho chako ni kizuri kulinganisha na hivyo vingine?
 
Viva udsm
ni km kuimba VIVA alqaeda mbele ya wananchi. UDSM ni damage kubwa sana sio kwa tz tuu hat akwa africa. Wamekuwadia sana nchi korofi zikapata kibase duniani kw ahasara yetu kuadhibiwa. Na leo tupo vibaya sana kielimu na fikra,ni omba omba tena asiye nafaida. UDSM hawa hawa, wamepigia upatu mataifa km uchina kuiba rasilimali za africa badala ya ccm kufanya hizo kazi.
 
In most cases UDSM is over-rated! Huku kwenye system tunawaona hao wanaotoka hapo! Naona niishie hapo! Mimi nimesoma hapo miaka ya zamani enzi za kina Profesa Ndalio (ni marehemu kwa sasa), pale Chemistry Dpt. Product ya wakati huo ni tofauti kabisa na ya sasa japo jina limebaki!
Not to that extent..
 
Nina jamaa yangu kasomea UDSM BAED(Geo na linguistics). Sasa juzi kaja shule nnayofundisha kupigwa interview huku akiwa na mbwembwe nyingi anaitaja UDSM kila baada ya dk 5 kaenda kufanyiwa interview form 1 Geography kapewa subtopic ya climatic regions kasema equatorial region inaanzia 5-10degree N&S.
Karudishwa kwao mkuku huku akiwa anashangaa.
Chai...
 
Hili nalo neno mkuu mwenyew nipo mkoa, joto ni kubeaawa mno la kuja mjin dat y maomb ya udsm yalikuwa meng kitu kingin ni mentality iliojengeka akilin wma watu kuhus icho chuo, mfan mi nimekosa udsm coz ambayo ilikuwa inahitaj watu 45 tu sasa niach kwingin kisa ud wakat nina Two na kuna walioenda ud wana Two pia ko hao wanainizid vp uwezo? Af pia kuna koz hamna apao ko watu watake hapo tu.
Na wewe unaenda Chuo kikuu au Choo Kikuu.!??

Umeandika lugha gani hapo!!???

My lord
....... Unawezaje kufaulu mtihani wewe!!
 
N
Unakuta aliyeleta thread hii ndo kaona jina lake amechaguliwa UDSM ndo analeta kelele humu....
Nilishasema UDSM hamna kitu, ni jina tu na majengo au wanajisifia kwa kuwa kila kitu utasikia UDSM na zile course zilizofutwa na TCU ni chache wangefutiwa hata zote hawa........... wana majungu kama vile wote ni wanawake! unakuta eti mtu anamshangaa mwenzake kusomea SAUT au UDOM, kwani wewe babu yako alisomea chuo gani.
Tuache upumbavu na ushabiki wa kishosti.

Kinachowaponza watu wa UDSM ni kujiona kuwa they are best to be employed, na ndivyo walivyokalilishwa na vilaza wenzao

wakati sisi tulio vyuo vingine hawajui tunawaza masaa 9 mbele on the matter of self employment,

UDSM endeleeni kufikiria kuajiliwa eti kwa kuwa ukisoma UDSM una advantage ya kuajiliwa......

Kwani waliosaini mikataba fake na ya ajabu si wamesoma UDSM?

Product ya UDSM ndo imetufikisha hapa tulipo kwani wengi wao ndo walikuwa sector nyeti na kufanya maamuzi ya kuharibu nchi!

Yote haya halafu bado lijitu linajisifia kusoma UDSM........
 
Umenena vyema mkuu,MTU akitaka kusoma Udsm awe na ufaulu mzuri.
Ova
Usifikiri kila mtu ana mzuka wa kusoma UDSM wewe.

Wengine sekondari tu wameenda kusomea Ulaya.

Nini chuo.

Mimi sikujaza hata hizo form zenu. Kwetu kuna wadogo wamesoma sekondari Ulaya.

Siyo chuo. Sekondari. Baada ya kumaliza darasa la saba mtu anapanda pipa anaenda boarding school sekondari Ulaya.

Sasa sisi kwetu utatuweka katika kundi la kushobokea UDSM?
 
N

Nilishasema UDSM hamna kitu, ni jina tu na majengo au wanajisifia kwa kuwa kila kitu utasikia UDSM na zile course zilizofutwa na TCU ni chache wangefutiwa hata zote hawa........... wana majungu kama vile wote ni wanawake! unakuta eti mtu anamshangaa mwenzake kusomea SAUT au UDOM, kwani wewe babu yako alisomea chuo gani.
Tuache upumbavu na ushabiki wa kishosti.

Kinachowaponza watu wa UDSM ni kujiona kuwa they are best to be employed, na ndivyo walivyokalilishwa na vilaza wenzao

wakati sisi tulio vyuo vingine hawajui tunawaza masaa 9 mbele on the matter of self employment,

UDSM endeleeni kufikiria kuajiliwa eti kwa kuwa ukisoma UDSM una advantage ya kuajiliwa......

Kwani waliosaini mikataba fake na ya ajabu si wamesoma UDSM?

Product ya UDSM ndo imetufikisha hapa tulipo kwani wengi wao ndo walikuwa sector nyeti na kufanya maamuzi ya kuharibu nchi!

Yote haya halafu bado lijitu linajisifia kusoma UDSM........
Hata Whatever university ni sawa tu
 
Attachments

Usifikiri kila mtu ana mzuka wa kusoma UDSM wewe.

Wengine sekondari tu wameenda kusomea Ulaya.

Nini chuo.

Mimi sikujaza hata hizo form zenu. Kwetu kuna wadogo wamesoma sekondari Ulaya. Sasa sisi kwetu utatuweka katika kundi la kushobokea UDSM?
Nimezungumzia kwa wale wanaotamani kusoma Udsm ila wana ufaulu mdogo,hivyo tu si vinginevyo.
Ww wa ulaya Udsm sio ishu kubwa kabisa kwako,
 
Back
Top Bottom