TAARIFA!
Kuwa na divisheni 1 sio kigezo cha kuingia UDSM siku hizi. Kutokana na idadi kubwa ya wahitimu wa form 6 siku hizi hizo one zinakuwa nyingi kuliko uwezo wa chuo. kwa mfano mwaka jana walioomba UDSM Bachelor of arts with education walikuwa zaid ya elfu 15, program capacity ilikuwa 1000 lakin kati ya waombaji wote wenye one walikuwa zaidi ya elfu 7000, sasa hapo utasema hao wenye one na wakatemwa ni vilaza?
Halafu UDSM nilishindwa kuwaelewa, mimi walinitema wakawachukuwa watu wenye divishen 2 ya kuchechemea na mwingine an div 3. Na hapo walitumia kigezo gani?, kama chaguo nami niliweka la kwanza na nimefaulu vizuri kuwazidi tangu o-level.
upuuzi mtupu