Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,596
Ufaulu mzuri wenyewe katika nchi ambayo haina viwango ni kitu ambacho hakieleweki.Nimezungumzia kwa wale wanaotamani kusoma Udsm ila wana ufaulu mdogo,hivyo tu si vinginevyo.
Ww wa ulaya Udsm sio ishu kubwa kabisa kwako,
Kuna watu kibao hawafaulu si kwa sababu hawana akili, bali kwa sababu hawama walimu au miwani.