Utakuwa mtu wa kwanza kulibeba gari ukiwa ndani ya gari. Km ulisoma pale unategemea utakuwa na uwezo wa kuona mapungufu yake kirahisi hivyo?Akina Lissu walisoma pale wakiwa tayari wana principles zao ambazo zilikuwa zikiwa guide wasichukue malaise za pale. Pale panawafaa akina bushiru, mkandala, mkumbo,bana ,muhongo and the sort. Wao wana connection na media, wana palatform ya kudanganya watu na kukipaka marashi chuo, serikali nayo inajituma kuwasukumiza UDSM kwenda kuchafua vyuo vingine kwa kile kinachoitwa kushare uzoefu wao. Vyuo vingi sana vilivyokuwa vikitoa watendaji kazi wazuri km Mzumbe,ushirika, IFM, DIT. Sasa hivi wanapewa degree za kikanjanja km udsm.