Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Nimevutiwa na bandiko lako na hasa kuhusu kuomba kudahiriwa UDSM na kukosa nafasi mwaka huu, Hii inanihusu kwa kuwa nina wangu wa karibu ambaye mkasa huu umemkumba pamoja na kuniaminisha huko nyuma kuwa lazima aingie UDSM kwa kuwa ana Division two points 13.
Tangu mwanzo nilikuwa nahisi kuwa ufaulu huo wa Division two points 10-13 niliutilia shaka na kutoamini kama chuo pekee hapa nchini kimeamua kushusha hadhi yake ya zamani na kudahiri chini ya kiwango chake cha awali. Naungana na wewe kuwapa pole hao wawili pamoja na wangu wa karibu ila wasikate tamaa wajipange kwingine.
Hiyo Division II ya point 13 unayozungumzia ni ya nchi ipi?

Tuanzie hapo.
 
Divisheni one zipo lakini ni chache sana.

Mtu aliepata one huchagua vyuo vingine ikiwa Udsm hakuna Kozi anayoitaka kusomea.

Pia bandiko langu limebeba ujumbe wa kuwa kama umefeli usihangaike kulaumu kwa nini hukuchaguliwa Udsm.

Mbona hata Rais wako hilo analijua na kuliheshimu
Mkuu mwenyewe kasoma kwa kuungaunga tu.. afu kusema UDSM ndio kimbilio la waliofaulu vizuri ni uongo tena wa kipumbavu kabisa.. nina jamaa zangu wana Div 3 na wapo hapo pia wengine ni diploma holders na wako hapo.. Sio kila mtu anapenda kusoma UDSM wengi hawapendi tena sana tu... UDSM ni chuo cha kawaida sana katka ishu nzima ya utoaji wa wahitimu walio smart...
 
Div 1 waende tu udsm bt kweny soko l ajira msitutenge sisi w vyuo hvi vngne maana hamchelewagi kutukata.
 
Infact kila mwanafunzi anandoto na ana taka asome UDSM
In most cases UDSM is over-rated! Huku kwenye system tunawaona hao wanaotoka hapo! Naona niishie hapo! Mimi nimesoma hapo miaka ya zamani enzi za kina Profesa Ndalio (ni marehemu kwa sasa), pale Chemistry Dpt. Product ya wakati huo ni tofauti kabisa na ya sasa japo jina limebaki!
 
Na huyu mleta mada shule yake nina mashaka nayo,atakuja na utetezi kwamba ni "typing error"
nikajua labda grading imebadilika,nilipata div 1 sikuchaguliwa udsm lakin niliesoma nae combi ileile na kupata 3 alisoma kwa hela ya Babaake hapo udsm kozi tilioitamani..
 
Mkuu mwenyewe kasoma kwa kuungaunga tu.. afu kusema UDSM ndio kimbilio la waliofaulu vizuri ni uongo tena wa kipumbavu kabisa.. nina jamaa zangu wana Div 3 na wapo hapo pia wengine ni diploma holders na wako hapo.. Sio kila mtu anapenda kusoma UDSM wengi hawapendi tena sana tu... UDSM ni chuo cha kawaida sana katka ishu nzima ya utoaji wa wahitimu walio smart...
Pole sana Mkuu. Unasema Rais kaunga unga? Naona umevurugwa
 
Div 1 waende tu udsm bt kweny soko l ajira msitutenge sisi w vyuo hvi vngne maana hamchelewagi kutukata.
Suala la ajira ni jingine Mkuu. Hapa kinachozungumzwa ni wale waliofeli na chuki zao za udsm
 
Sio kila mwanafunz ana ndoto za kusoma udsm; kwan kuna coz kibao za maana hazpo kwenye hicho chuo. .na kusema wanaosoma udsm ni vipanga ni uongo pia. .
 
Back
Top Bottom