Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

NILICHAGULIWA UDSM, MZUMBE NA UDOM KWA MARA MOJA

NILIITEMA UDSM KWA SABABU INAENDESHWA KISIASA NA VURUGUVURUGU.

NILIITEMA UDOM KWA 7BU SIKUTAKA KUWA DENT WA KUANZISHA CHUO

NIKAENDA MU, HOME OF DEVELOPMENT, MANAGEMENT, FINANCE AND FINANCE.

NB: NI KWELI, COMPETITION NI KUBWA, WANAOAPLY NI WENGI SANA NA WAKATI MWINGNE HUTEGEMEANA NA COURSE.

HAIWEZEKANI UNA DIVISION 2 AU 1 YA MWSHO HALAFU UNAOMBA COMPETITIVE COURSE, NA HII SYO KWA UDSM PEKEE.
 
Habari Wakubwa.

Leo nikiwa katika biashara yangu walikuja vijana wawili. Vijana hao walionekana kukwaruzana kila mmoja akijaribu kumshinda mwenzake kukitukana chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Nikiwa kama Mhitimu kutoka chuo hicho. Nilivuta masikio yangu zaidi na umakini wote kutaka kujua nini sababu ya mvutano ule mkubwa.

Kwa nasibu vijana wale walikuja kwenye biashara yangu wakiwa bado wanararuana vikali kama wapo katika finali ya kombe la dunia.

Sauti yangu ya kuwakaribisha ndio iliweka nukta katika mabishano yao na kuwafanya wameze mafumba kadhaa ya mate jasho shingoni likiteremka kutokana na jua la Dar.

Niliwahudumia. Kisha nikawauliza kuhusu walichokuwa wakikitukana.

Ndio wakanipa filamu zima jinsi walivyo-apply Udsm na kutemwa kama kohozi. Walienda mbali zaidi nakusema kwa maksi walizopata walikuwa na haki za moja kwa moja za kuchaguliwa Udsm. Hapo ikabidi niulize ufaulu wao. Ndipo mmoja kwa kujitutumua akafungua mdomo wake na kusema ana divisheni two ya 11 mwenzake akadakia ana ya 10.

Nikawapa pole tuu na kuwaambia walifaulu tuu vizuri hivyo wa-appy vyuo vingine.

Mytake; jamani ninyi watoto mlioshuleni someni kama mnataka mambo makubwa. Sio unamaliza shule na kadivisheni two kako alafu unataka uchaguliwe chuo kikubwa cha vipanga.

Hakuna aliyekutuma ufeli. Kama unataka kusoma Udsm sharti upige msuli upate angalau kadivisheni one.

Kila mtu apambane na hali yake.

Udsm hoyeeeeee!
Acha ufala wewe. Sheria ya udahili inataka principal pass mbili. Hiyo ya kwako ni ushabiki wa kipumbavu tu.
 
Acha kupaniki kijinga. Kila Chuo kinataratibu zake chini ya TCU. Sasa wewe Apply Udsm na three yako ya 15 uone.
 
NILICHAGULIWA UDSM, MZUMBE NA UDOM KWA MARA MOJA

NILIITEMA UDSM KWA SABABU INAENDESHWA KISIASA NA VURUGUVURUGU.

NILIITEMA UDOM KWA 7BU SIKUTAKA KUWA DENT WA KUANZISHA CHUO

NIKAENDA MU, HOME OF DEVELOPMENT, MANAGEMENT, FINANCE AND FINANCE.

NB: NI KWELI, COMPETITION NI KUBWA, WANAOAPLY NI WENGI SANA NA WAKATI MWINGNE HUTEGEMEANA NA COURSE.

HAIWEZEKANI UNA DIVISION 2 AU 1 YA MWSHO HALAFU UNAOMBA COMPETITIVE COURSE, NA HII SYO KWA UDSM PEKEE.
Uliogopa VURUGU???????
 
Habari Wakubwa.

Leo nikiwa katika biashara yangu walikuja vijana wawili. Vijana hao walionekana kukwaruzana kila mmoja akijaribu kumshinda mwenzake kukitukana chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Nikiwa kama Mhitimu kutoka chuo hicho. Nilivuta masikio yangu zaidi na umakini wote kutaka kujua nini sababu ya mvutano ule mkubwa.

Kwa nasibu vijana wale walikuja kwenye biashara yangu wakiwa bado wanararuana vikali kama wapo katika finali ya kombe la dunia.

Sauti yangu ya kuwakaribisha ndio iliweka nukta katika mabishano yao na kuwafanya wameze mafumba kadhaa ya mate jasho shingoni likiteremka kutokana na jua la Dar.

Niliwahudumia. Kisha nikawauliza kuhusu walichokuwa wakikitukana.

Ndio wakanipa filamu zima jinsi walivyo-apply Udsm na kutemwa kama kohozi. Walienda mbali zaidi nakusema kwa maksi walizopata walikuwa na haki za moja kwa moja za kuchaguliwa Udsm. Hapo ikabidi niulize ufaulu wao. Ndipo mmoja kwa kujitutumua akafungua mdomo wake na kusema ana divisheni two ya 11 mwenzake akadakia ana ya 10.

Nikawapa pole tuu na kuwaambia walifaulu tuu vizuri hivyo wa-appy vyuo vingine.

Mytake; jamani ninyi watoto mlioshuleni someni kama mnataka mambo makubwa. Sio unamaliza shule na kadivisheni two kako alafu unataka uchaguliwe chuo kikubwa cha vipanga.

Hakuna aliyekutuma ufeli. Kama unataka kusoma Udsm sharti upige msuli upate angalau kadivisheni one.

Kila mtu apambane na hali yake.

Udsm hoyeeeeee!
Habari Wakubwa.

Leo nikiwa katika biashara yangu walikuja vijana wawili. Vijana hao walionekana kukwaruzana kila mmoja akijaribu kumshinda mwenzake kukitukana chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Nikiwa kama Mhitimu kutoka chuo hicho. Nilivuta masikio yangu zaidi na umakini wote kutaka kujua nini sababu ya mvutano ule mkubwa.

Kwa nasibu vijana wale walikuja kwenye biashara yangu wakiwa bado wanararuana vikali kama wapo katika finali ya kombe la dunia.

Sauti yangu ya kuwakaribisha ndio iliweka nukta katika mabishano yao na kuwafanya wameze mafumba kadhaa ya mate jasho shingoni likiteremka kutokana na jua la Dar.

Niliwahudumia. Kisha nikawauliza kuhusu walichokuwa wakikitukana.

Ndio wakanipa filamu zima jinsi walivyo-apply Udsm na kutemwa kama kohozi. Walienda mbali zaidi nakusema kwa maksi walizopata walikuwa na haki za moja kwa moja za kuchaguliwa Udsm. Hapo ikabidi niulize ufaulu wao. Ndipo mmoja kwa kujitutumua akafungua mdomo wake na kusema ana divisheni two ya 11 mwenzake akadakia ana ya 10.

Nikawapa pole tuu na kuwaambia walifaulu tuu vizuri hivyo wa-appy vyuo vingine.

Mytake; jamani ninyi watoto mlioshuleni someni kama mnataka mambo makubwa. Sio unamaliza shule na kadivisheni two kako alafu unataka uchaguliwe chuo kikubwa cha vipanga.

Hakuna aliyekutuma ufeli. Kama unataka kusoma Udsm sharti upige msuli upate angalau kadivisheni one.

Kila mtu apambane na hali yake.

Udsm hoyeeeeee!
Habari Wakubwa.

Leo nikiwa katika biashara yangu walikuja vijana wawili. Vijana hao walionekana kukwaruzana kila mmoja akijaribu kumshinda mwenzake kukitukana chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Nikiwa kama Mhitimu kutoka chuo hicho. Nilivuta masikio yangu zaidi na umakini wote kutaka kujua nini sababu ya mvutano ule mkubwa.

Kwa nasibu vijana wale walikuja kwenye biashara yangu wakiwa bado wanararuana vikali kama wapo katika finali ya kombe la dunia.

Sauti yangu ya kuwakaribisha ndio iliweka nukta katika mabishano yao na kuwafanya wameze mafumba kadhaa ya mate jasho shingoni likiteremka kutokana na jua la Dar.

Niliwahudumia. Kisha nikawauliza kuhusu walichokuwa wakikitukana.

Ndio wakanipa filamu zima jinsi walivyo-apply Udsm na kutemwa kama kohozi. Walienda mbali zaidi nakusema kwa maksi walizopata walikuwa na haki za moja kwa moja za kuchaguliwa Udsm. Hapo ikabidi niulize ufaulu wao. Ndipo mmoja kwa kujitutumua akafungua mdomo wake na kusema ana divisheni two ya 11 mwenzake akadakia ana ya 10.

Nikawapa pole tuu na kuwaambia walifaulu tuu vizuri hivyo wa-appy vyuo vingine.

Mytake; jamani ninyi watoto mlioshuleni someni kama mnataka mambo makubwa. Sio unamaliza shule na kadivisheni two kako alafu unataka uchaguliwe chuo kikubwa cha vipanga.
OK....KUPATA DIV ONE NDO NINI
GENIOUS ARE THE ONES WHO APPLY THE LAWS OF NATURE TO HARNESS LIFE NECESSITIES OF LIFE AND SAVE HUMANITY.
kwa kifupi hakuna KIPANGA TANZANIA LABDA BADAYE.....
 
Wewe ni fala maana hao waliojuwa wanabishana unewaita waliofeli. Kupata Division two ni kufeli? Ufala wako ndio uko hapo!
Unaweza pata one na ukawa umefeli Mkuu.

Kufeli ni kushindwa kufikia lengo. Acha ubishi.
 
Wazazi hutuambia tusome tupate kazi na tuwe na maisha mazuri
Au we hukuwah ambiwa hivyo

Mimi niliambiwa kila aina ya kitu hadi mwishowe nikahisi kuchanhanyikiwa.
Lakini nikaweka msimamo wangu kwamba nasoma ili nijiajiri na shule ikawa rahisi sana baada ya kufanya haya maamuzi. Nilisoma kwa kutotaka kushindana na watu bali kujijenga mimi binafsi na hadi leo hii ninafurahia yale maamuzi na kumshukuru sana Mungu.
 
Sawa nimekuelewa
 
Back
Top Bottom