Good boy sisi tunataka vikombe na burudani ya mpira thats all hao kina genta wababaishaji ni Simba ambao wanajifanya yanga hawataki tuendeleeGSM ni mfanyabiashara, kwa hiyo kwa vyovyote vile pia anazingatia maslahi yake, Mimi ni mwanachama mtiifu wa Yanga ninachokihitaji ni burudani tu ya mpira maana hayo mambo ya fedha hayanihusu kwani hakuna siku tulishawahi kupata gawio kutoka Yanga tukiwa kama wanachama kabla hata ya kuja hao GSM, hivyo basi GSM waendelee tu, cha msingi tunataka ushindi na mpira mzuri