Mo Dewji asishukuliwe kwa Yanga kutinga Robo tu! Bali ashukuliwe na ushindi wa Kono la Nyani alizopigwa mtani uwanja wa Lupaso.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,263
12,763
Nimesikitishwa na kauli ya msemaji wa Simba sc (Ahmedy Ally) kutamka kuwa "ushindi wa Yanga dhidi ya mwarabu ashukuliwe MO dewji"

Mwisho wa kunukuu.

Hoja Yangu ni kwamba Yanga watamshukuru vipi tajiri Bahili na mwenye propaganda linapokuja suala la kusajili wachezaji wenye viwango vya kimataifa?!

Tajili kashindwa kabisa kuleta furaha kwa mashabiki alichofanikiwa kikubwa ni kumleta manzoki katika uchaguzi wa MWENYEKITI wake Mangungu.

Tajili yupo kimasilahi ana hakikisha bidhaa zake zinacholwa kwenye jezi Kama ubao wa mtoto wa chekechea anayejifunza kusoma na kuandika.

Tajili kashindwa kujenga kiwanja hata kuahidi Kama alivyofanya GSM Bali kasepa na buku buku walizochanga Mashabiki.

Maoni Yangu: Yanga Sc hawatamshukuru kwa kufuzu Robo tu Bali watamshukuru kwa kutosajili wachezaji Bora /wazuri na kusababisha kuifunga Simba sc magoli matano.
 
Ahmed Ally, mtu Kweli Kweli....!

Utopolo Wote Wanahaha kumjibu..!

Kisu kimegonga mfupa...!

Ila Wale Wawili waliotajagwa hawatajibu Wala Kuweka bandiko humu....! Wale Wenye Akili Kule Utopolo
 
wazuri na kusababisha kuifunga Simba sc magoli matano.
Nani alisababisha Uto mkala 5 ?

Siku zote vyura huwa na makelele mengi wakishatumbukia topeni 😂
 
Attachments

  • 1708663916825.jpg
    1708663916825.jpg
    346.4 KB · Views: 1
Ahmed Ally, mtu Kweli Kweli....!

Utopolo Wote Wanahaha kumjibu..!

Kisu kimegonga mfupa...!

Ila Wale Wawili waliotajagwa hawatajibu Wala Kuweka bandiko humu....! Wale Wenye Akili Kule Utopolo
Mwanzo kabisa nilijuaga Ahmed Ally ana akili lakini kumbe hamna kitu,hii kauli imekaa kitoto mno
 
Sisi tunamshukuru Mudi kwa kumfukuza Baleke na kutuletea Pa Omary Jobe ili Yanga tuwafunge 10 saivi. Usajili mzuri wa kutuletea mchezaji aliyepiga picha na CR7, hakika utafanya Pacome aondoke na hattrick kwenye derby ya round ya 2 kwenye league. Hakika Mudi umetuneemesha sana Yanga.
 
Ashukuliwe ndio lugha gani we CHOKO
ULISHAPATA SEHEMU YA MASAJI ULIYOKUWA UNAITAFUTA ILI UPAKWE MAFUTA KWENYE KINYEO.

NJOO NITAKUFANYIA MASAJI NA MAFUTA YA NAZI NAPAKA KOTA HILO LIKILAINIKA NATUMBUKIZA MJEGEJE KWENYE KINYERO MAAANA KINAKUWASHA.
 
Nimesikitishwa na kauli ya msemaji wa Simba sc (Ahmedy Ally) kutamka kuwa "ushindi wa Yanga dhidi ya mwarabu ashukuliwe MO dewji"

Mwisho wa kunukuu.

Hoja Yangu ni kwamba Yanga watamshukuru vipi tajiri Bahili na mwenye propaganda linapokuja suala la kusajili wachezaji wenye viwango vya kimataifa?!

Tajili kashindwa kabisa kuleta furaha kwa mashabiki alichofanikiwa kikubwa ni kumleta manzoki katika uchaguzi wa MWENYEKITI wake Mangungu.

Tajili yupo kimasilahi ana hakikisha bidhaa zake zinacholwa kwenye jezi Kama ubao wa mtoto wa chekechea anayejifunza kusoma na kuandika.

Tajili kashindwa kujenga kiwanja hata kuahidi Kama alivyofanya GSM Bali kasepa na buku buku walizochanga Mashabiki.

Maoni Yangu: Yanga Sc hawatamshukuru kwa kufuzu Robo tu Bali watamshukuru kwa kutosajili wachezaji Bora /wazuri na kusababisha kuifunga Simba sc magoli matano.
Ukiwa na akili timamu huwezi kuwapa sikio lako Kamwe na Amedy

Ni wabwabwajaji tu sema na mashabiki wa hizi timu wengi ni wajinga
 
Back
Top Bottom