Kikotoo kitaondolewa, Praising Team itaanzisha mapambio

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,702
86,659
Kuna mambo yanachekesha sana sometimes, unatengeneza tatizo, unawaacha wanahangaika nalo at the same time unatafuta praise team ili ku-justify kuwa tatizo ulilotengeneza sio tatizo. Unakaa kimyaa baada ya muda unaondoa tatizo unashangiliwa tena na praise team ambayo ni empty headed with zero reasoning capacity. Hili ndio linaloenda kutokea very soon.

Note:
Na kwakuwa hawawezi kuwa accountable kwa matendo ya Serikali yao, mzigo wote atadondoshewa Yohana the late.

Stay tuned
 
Lazima Serikali itoe kikokotoo kilicho SAWA Kwa wafanyakazi wa Serikali ya umma na wafanyakazi wa sekta binafsi sababu sote ni watanzania. Haiwezekani watu wa Serikali wapewe mafao makinwa kuliko watu wa private wakati sote mifuko inasimamiwa na Serikali.
 
Lazima serikali itoe kikokotoo kilicho SAWA Kwa wafanyakazi wa serikali ya uma na wafanya kazi WA sector binafsi sbb sote ni watanzania.Haiwezekani watu wa seeiakli wapewe mafao makinwa kuliko watu wa private wakati sote mifuko inasimamiwa na serikali
Hamiwezi kuwa sawa, different entities kabisa japokuwa ni nchi moja
 
Kuna mambo yanachekesha sana sometimes, unatengeneza tatizo, unawaacha wanahangaika nalo at the same time unatafuta praise team ili ku-justify kuwa tatizo ulilotengeneza sio tatizo. Unakaa kimyaa baada ya muda unaondoa tatizo unashangiliwa tena na praise team ambayo ni empty headed with zero reasoning capacity. Hili ndio linaloenda kutokea very soon.

stay tuned
kisha wale waliovaa vi-tshirt na kofia watashangilia kwa muda,wakidhani wamekaribishwa peponi kumbe ccm wembe ni ilele uchaguzi upite tu
 
Nchi hii imejaa viongozi ambao ni majambazi!

Hivi inakuwaje Kwa pesa ninayoweka Mimi mwenyewe, Kwa kukatwa toka kwenye mshahara wangu, halafu serikali ambayo ndiyo inayonitunzia hiyo pesa, ije uniambie kuwa asilimia 33 watanipa Kwa mkupuo na asilimia 67 nyingine iliyobaki, watanitunzia Kwa kunilipa kidogo kidogo!🙆
 
Lazima serikali itoe kikokotoo kilicho SAWA Kwa wafanyakazi wa serikali ya uma na wafanya kazi WA sector binafsi sbb sote ni watanzania.Haiwezekani watu wa seeiakli wapewe mafao makinwa kuliko watu wa private wakati sote mifuko inasimamiwa na serikali
Siyo kweli wote hesabu ni moja
 
Nchi hii imejaa viongozi ambao ni majambazi!

Hivi inakuwaje Kwa pesa ninayoweka Mimi mwenyewe, Kwa kukatwa toka kwenye mshahara wangu, halafu serikali ambayo ndiyo inayonitunzia hiyo pesa, ije iniambie kuwa asilimia 33 watanipa na asilimia 67 nyingine iliyobaki, watanitunzia Kwa kunipa kidogo kidogo!🙆
Hahaha. Ubunge ni raha tupu. Hakuna hizo shida.
 
a
Nchi hii imejaa viongozi ambao ni majambazi!

Hivi inakuwaje Kwa pesa ninayoweka Mimi mwenyewe, Kwa kukatwa toka kwenye mshahara wangu, halafu serikali ambayo ndiyo inayonitunzia hiyo pesa, ije iniambie kuwa asilimia 33 watanipa Kwa mkupuo na asilimia 67 nyingine iliyobaki, watanitunzia Kwa kunipa kidogo kidogo!🙆
ajabu sana.
 
Back
Top Bottom