Chimbo zuri la simu za biashara na vifaa vya umeme kwa bei nafuu kwa bei ya jumla

Mayova

Senior Member
May 10, 2018
182
123
Habari wenyeji na wataalam wa biashara.

— Naomba kujua kama kuna mtu mzoefu na anaye jua chimbo zuri la simu na vifaa vya umeme kwa bei ya jumla
 
Fanya hivi...kusanya product zako uchambue vizuri. ..hua hawezi leta tofauti labda km ww ulikosea kubook..
Other option nikutumia mawakala waliopo bongo. ...unaagiza through alibaba then unamtumia wakala akuletee mzigo
 
Wakala ndo Kama wapi hao?

Naona vitu Alibaba sema usafirishaji naona Bei ghali kidogo
 
Sasa uwe specific unataka electronic za simu au umeme tupu

Mnk hapa Niko kuwazilisha kampuni ya africacable ,elswedy, nakillimanjaro led bulbu hvyo nielezee unataka nn
 
Habari Mimi ni mmoja ya wafanyakazi ya kampuni bora nchini ambayo ni wauzaji wa vifaa vya umeme na Urembo wa majumbani kwa bei ya jumla. Jina la kampuni yetu ni (VELLMAX) Kwa mawasiliano na uaminifu zaidi unaweza kunitafuta kwenye namba hizo hapo chini na nikupe maelekezo jinsi ya kufika kwenye stores zetu.
0684476061(WhatsApp/call)
 
Habari wenyeji na wataalam wa biashara.

— Naomba kujua kama kuna mtu mzoefu na anaye jua chimbo zuri la simu na vifaa vya umeme kwa bei ya jumla
Mbona kariakoo vimejaa. Vifaa vya simu na simu ni k.koonashindwa kukuelekeza vema mtaa. Ila makutano ya uhuru na msimbazi, shila njia ya kwenda msimbazi barabara ya kwanza kupandisha kushoto, huo mtaa upande wote wa kulia ni vifaa vya simu na spea bei ya jumla. Onyo nenda dukani direct usiongee na vishoka nje.

Upande wa kushoto barabara hiohio ni simu bei ya jumla. Ila inapaswa uende kwa command ya jumla sio kama unalenga rejareja.

Vifaa vya umeme kwa wahindi maeneo ya fire kule na ndani ndani kariakoo mitaa ya baada ya soko kuu.
 
Habari Mimi ni mmoja ya wafanyakazi ya kampuni bora nchini ambayo ni wauzaji wa vifaa vya umeme na Urembo wa majumbani kwa bei ya jumla. Jina la kampuni yetu ni (VELLMAX) Kwa mawasiliano na uaminifu zaidi unaweza kunitafuta kwenye namba hizo hapo chini na nikupe maelekezo jinsi ya kufika kwenye stores zetu.
0684476061(WhatsApp/call)
Nipe muongozo wa wire 1.5,2.5&4 hata 6"
Pia holder, junction box,Balbu,switch na socket..
Ikiwezekana mainswitch za single phase 4way na 6 ways
 
Back
Top Bottom