Maduka wanapouza nywele rasta bei jumla

brucella

Member
Mar 15, 2019
69
71
Habari Wana JF
Naomba msaada wa mawasiliano au connection sehemu wanapouza nywele za rasta kwa bei ya jumla.Kuna baadhi ya nywele hizo za kusukia za rasta kama kampuni ya darling , prima na zingine ambazo ni nzuri.
So naomba nielekezwe sehemu gani kariakoo au anywhere else ambapo naweza nikapata kwa bei ya jumla.Maana na Mimi pia nahitaji kuja kuuza kwa bei ya jumla huku nilipo.
Maana najua hapa Kuna wafanyabiashara wakubwa,wenywe viwanda au wafanyakazi wanaofanyakazi sehemu kama hizo na wengine pia wazoefu ambao wanaweza nisaidia. Mimi ni mgeni kwenye biashara hizo,so chimbo sizifahamu vizuri .

Natanguliza shukran sana

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
mpigie huyo jamaa atakupa maelekezo vizuri ana udhoefu na hiyo biashara +255654983243
 
Hela inatafutwa kwa taabu lakini zinatumiwa kwenye mambo ya hovyo Sana. The vicious cycle of poverty** AFRICANS ARE POOR BECAUSE ARE POOR** Sijui ni msomi gani aliandika hivyo ila nimewahi kukutana na hilo katika pita pita zangu za kupekua vitabu
 
Back
Top Bottom