Chenge kujivua gamba leo?

Status
Not open for further replies.
- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma! Willie @ NYC, USA.

Kwa kumbukumbu zilizopo ni kuwa Chenge siyo mjumbe wa CC ya CCM tangu wakati ule Sekretariat ilipojiuzulu. Sasa unaposema kaachia ngazi ndani ya CC una maana kajiuzulu kutoka CC (ambayo si kweli) au kaitwa na CC na kujiuzulu nafasi yake ya ujumbe wa NEC, ubunge, uanachama wa CCM mbele yao???

Mbona Chenge sio mjumbe wa CC ya CCM, sasa kaachia ngazi kwenye nafasi zipi? Labda kama kaachia NEC na ubunge.
tumia akili....kama anachosema @NYC,USA ni kweli basi anamaanisha Chenge amesubmitt resignation decisions before CC, hakumaanisha yeye ni mjumbe wa CC

- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!

Willie @ NYC, USA.

Maswali matatu

1. Inamsaida Yeye
2. Ina manufaa kwa CCM
3. Ina manufaa kwa Watanzania

Jibu .. Simply useless move!!

CCM at the moment is too feable for anything important ... Unless it goes regeneration as the party!

- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!

Willie @ NYC, USA.

Wewe @NYC, umepoteza uhalali wako na heshima yako kwa kudiriki kudanganya umma na kukimbia thread

Edward lowaswa hayupo! nani amemwona!. Juzi alikimbia kikao cha kamati ya usalama na maadili cha Mhe. P.Msekwa. Ipo kazi kwa wanagamba. nakumbuka Mamapambio wanaoimba ndugu zetu wakristo kule msibani " Oh Njia iendayo mbinguni ni nyembamba" na kwa ndugu zangu waislamu wanasoma ile kitu inaitwa talakini. BURIANI CCM ! Buriani Wanagamba. Ole wenu siku Nyerere akiamka akute ch.... Oh sorry kumbe hakitakuwepo. CCM OYEEEE

Hayo ni mawazo yako. Lakini sisi tunataka watuachiye nchi yetu. Ilikuwa imefika pabaya sana pa kuiweka nchi mfukoni kwa sababu ya hela zao. Hali hii haiwezi kuachwa iendelee.
Sasa ukishaachiwa nchi unalala au unaongeza nguvu ya udhibiti ambayo ni pamoja na kuziba nafasi zilizoachwa awazi?

Ndugu William, kwakuwa wewe ni mkongwe wa hapa JF hivyo kukufanya kuwa CHANZO CHA KUAMINIKA, naomba ukafanye hima kuifanya hii Thread kuwa BREAKING NEWS badala ya tetesi.

Watu kama wewe, MM Mwanakijiji, Maxence Melo, Ivuga na Invisible, hakuna hata siku moja ambayo mmewahi kutuletea habari ya kiuzushi hapa jukwani. Hivyo sijapata shida kuamini ujumbe huu uliotuletea.

Hata hivyo haya Magamba ya CCM kujibandua huko hakutoshi; naomba niwakute kwenye kachumba kadogo kule Keko huku uchunguzi usio na mzaha ukiendelea kuendeshwa na watu makini juu ya matendo yao hawa mafisadi na jinsi yalivyotugharimu kama taifa - kisha wakafanywe kuwajibika vilivyo kwa hiyo mikero yote nchini.

- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!

Willie @ NYC, USA.

Lazima wajue kuwa magamba ni yao sisi tunachotaka ni hela zetu, magamba yao hayatuhusu kabisa!

- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!

Willie @ NYC, USA.

Malecela kama utakuwa umetuletea habari za kutunga tunga utakuwa umetuvunjia heshima.. Na ningeshauri ujiuzulu hapa JF kwani hatutegemei mtu kama wewe kutudharirisha sisi tunao endelea kuchangia post isizo na ukweli..!!

Ndugu William, kwakuwa wewe ni mkongwe wa hapa JF hivyo kukufanya kuwa CHANZO CHA KUAMINIKA, naomba ukafanye hima kuifanya hii Thread kuwa BREAKING NEWS badala ya tetesi.

Watu kama wewe, MM Mwanakijiji, Maxence Melo, Ivuga na Invisible, hakuna hata siku moja ambayo mmewahi kutuletea habari ya kiuzushi hapa jukwani. Hivyo sijapata shida kuamini ujumbe huu uliotuletea.
PAW amemstahi kiutu uzima kuifanya ibaki Tetesi kwa siku mbili si kawaida wataiacha hivi hivi hadi Chenge atakapojiuzulu hata kama ni baada ya wiki mbili baadae waandike CONFIRMED waseme Malecela was right ha ha haaa.
Mimi nataka kuanzisha thread yenye heading Tetesi: JK kuachia ngazi 2015 sijui nayo wataiacha kwa siku ngapi.

Edward lowaswa hayupo! nani amemwona!. Juzi alikimbia kikao cha kamati ya usalama na maadili cha Mhe. P.Msekwa. Ipo kazi kwa wanagamba. nakumbuka Mamapambio wanaoimba ndugu zetu wakristo kule msibani " Oh Njia iendayo mbinguni ni nyembamba" na kwa ndugu zangu waislamu wanasoma ile kitu inaitwa talakini. BURIANI CCM ! Buriani Wanagamba. Ole wenu siku Nyerere akiamka akute ch.... Oh sorry kumbe hakitakuwepo. CCM OYEEEE

Jamaa hawezi kuogopa kikao chochote ndani ya CCM for your info, wafikishie na wenzako habari hii bila kutafuta wala kumun'gunya.

wacha wamalizane chama kizidi kwishaaa, maana hatakaa kimya nae lazima alipize kisasi kwa kuwajeruhi wapinzani wake ndani ya serikali nzima na CC ya CCM bila kumsahau JK!

Lazima mapacha hao 3 (EL, AC na RA) watakuwa wameunda band yao ya kulipa kisasi....! ikifika hapo mbona itakuwa burudani toshaa....???

Like father like son. Huyu Willie @ NYC, USA. Nae ni gamba tu, Ingawa aliandika ni tetesi, so what i begg u mwambie Chenge ajiuzuru otherwise wewe ndio jiuzuri kwa kitendo ulichowafanyia wana JF. Kama wewe upo NYC unadanganya je mimi wa Tabora Nifanyaje?

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom