Chenge kujivua gamba leo?

Status
Not open for further replies.
Kwa mawazo yangu Rostam na Chenge ni wepesi kutimuliwa ndani ya CCM kulinganisha na Edward. Nafikiri Edward anawaumiza kichwa sana na haitakuwa kazi nyepesi kumtimua unless wamuombe aondoke bila kukijeruhi chama.

Kwa CHENGE ukilinganisha na tuhuma zake za rada na nyinginezo anakuwa mwepesi sana kutimuliwa - kwa hili sina shaka jamaa anaweza kuwa kamalizwa.
 
Like father like son. Huyu Willie @ NYC, USA. Nae ni gamba tu, Ingawa aliandika ni tetesi, so what i begg u mwambie Chenge ajiuzuru otherwise wewe ndio jiuzuri kwa kitendo ulichowafanyia wana JF. Kama wewe upo NYC unadanganya je mimi wa Tabora Nifanyaje?

Kaka mimi binafsi bado sijaona ufisadi wa huyu mzee wetu malecella, nafikiri ni kati ya wana CCM waaminifu sana wa karne hii. Na sijajua hadi leo ni kipi hasa walitofautiana na baba wa taifa - huyu mzee ana misimamo na ni mtetezi wa watu ingawa jimbo lake la Mtera na mkoa wake wa dodoma umebakia nyuma sana kimaendeleo, lakini hii si sababu ya kumwondolea ushupavu katika uongozi wake.

Sitaki kusema ukiwa kiongozi basi fanya ushawishi ili upeleke maendeleo kwenu, no. ila alikuwa na nafasi kuwaendeleza watu wake - ki fikra ili waweze kujitegemea, ki elimu na ki afya. Mtera ni kati ya majimbo yaliyosahaulika ki maendeleo

Nafikiri Willie @NYC atakubaliana na mimi kwamba ndugu zao huko mtera wako hoi bin taabani.
 
- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!




Willie @ NYC, USA.

CC ya CCM si iliundwa upya takribani miezi minne iliyopita na kufuatiwa na kuundwa kwa Sekretariat mpya? Sidhani kama Mh. Chenge ni mjumbe wa CC ya CCM iliyoundwa miezi minne iliyopita.
 
Sasa mapacha hawa mbona hawaendi sawa amebaki mmoja sasa, nadhani yeye atajivua uanachama!
 
Chenge hawezi kujivua gamba kwani hakuna wa kumvua gamba,Rostam alijivua gamba baada ya kufanikisha maswala yake ya kupata mnunuzi wa mitambo ya kufua umeme Richmond.Pili shindikizo lilitoka kwa wafanya biashara wenzake,sio CCM na Nape la hasha. CCM mara zote hawafanyi maamuzi kutokana na matakwa ya wananchi.
 
je swala la kuambiwa anakesi ya kujibu litaendelea au akiuachia unec basi anapata msamaha?jamaa anatakiwa afungwe na kufilisiwa kabisa
 
Huwezi kuwa makini,Chenge si alishajiondoa CC tangu April?Sipendi upuuzi!
 
Malecela kama utakuwa umetuletea habari za kutunga tunga utakuwa umetuvunjia heshima.. Na ningeshauri ujiuzulu hapa JF kwani hatutegemei mtu kama wewe kutudharirisha sisi tunao endelea kuchangia post isizo na ukweli..!!
Uongozi wa JF to be fair to all the members napendekeza W.J.Malecela apewe ban kama wanavyopewa members wengine wanapodanganya.
Badala yake naona MODS wanazidi kumfichia aibu kwa kubadilishabadilisha headings, kwanza mwenyewe aliandika
1. Chenge ajivua gamba leo CC; Mods wakabadilisha
2. Tetesi: Chenge ajivua gamba leo CC; Mods wakabadilisha tena
3. Chenge kujivua gamba leo?; Mods wakabadilisha tena
4. Tetesi: Chenge kujivua gamba leo?

Tatizo lililopo ni kuwa headings zote zinazoletwa haziendani na content ya thread yenyewe ambayo ni a declarative statement "Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC " In short kadanganya please Mods do a needful.
 
hayo "yaliyotokea" aliyoyasema chenge (kwa mafumbo) wakati akiwasilisha mchango wake kwa wizara ya miundombinu ni yepi?
 
sasa ccm imekwisha kama ni kweli,hivi amebaki mwanasheria gani? Huko kwa mtazamo wa wananchi nisahihi kabisa ila kwa ccm ni kifo kikubwa,wasifanya mambo kufuata mkubwa maana kubwa lao halitoki linaendelea kutafuna kama vp? Naye actp dwn bac

Taratibu Mkuu,

Wakifanya pupa hapo ndipo watakapo haribu maana CCM ndani kwenyewe kwisha vurugika sasa wanajitoa wenyewe kwa ridhaaa yao kwani walijisahau sana kuwa wapo pale kwa ajiri ya Nchi sio kwa manufaaa yao wao wenyewe aibu gani hii mpaka kiongozi usutwe ndio uachie madaraka kwani hawakuwa wakisoma alama za nyakati muda wote huo
 
mzee wa njaa
Naona hiyo haisaidii chama chote cha magamba kiachie ngazi wanawaonea tu na si vinginevyo makima hao.

hawa jamaa watatu ndiyo wamebebeshwa mzigo wote,kibao wako nyuma yao ofcoz haisadii kivile
 
wacha wamalizane chama kizidi kwishaaa, maana hatakaa kimya nae lazima alipize kisasi kwa kuwajeruhi wapinzani wake ndani ya serikali nzima na CC ya CCM bila kumsahau JK!<br />
<br />
Lazima mapacha hao 3 (EL, AC na RA) watakuwa wameunda band yao ya kulipa kisasi....! ikifika hapo mbona itakuwa burudani toshaa....???
<br />
<br />
EL AC RA(RACHEL)
 
Mods piga Ban mwanzisha hii thread, ametufanya tushindwe kusherekea kwa chenge kujivua Gamba
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom