Chenge kujivua gamba leo?

Chenge kujivua gamba leo?

Status
Not open for further replies.
Wandugu ilobaki turudi mtaani siku moja watatuachia nchi yetu tu
 
kujivua gamba si suluhisho tosha tungependa wafikishwe mahakamani kujibu shutuma zao ili angalau turudishiwe kile walichokiiba. Siyo kujiondoa kwenye siasa alafu wanaendelea kula bata mtaani.
 
CHENGE--- intelectual man from HARVARD UNIVERSITY.....Hiz head had bond of 400 MILLIONS EURO..... chezea wengine siyo huyu,,, naaapa!!!!!!!
 
Mods kama mpo fea, Malecela William anastahili ban kwa kupotosha watu.

Mkuu tatizo sio W.M...., tatizo ni the Datas labda hizo Datas hazikuwa reliable au walipanga wamforce ajiuzulu lakini wakashindwa
 
Haipendezi na ni kinyume cha kanuni kufanya hili lakini Mods mnisamehe sana kutokana na maneno na lugha wanayotumia katika mabandiko yao FMES na Willie@NYC,USA huwa nahisi they are one and the same. Just thinking aloud!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom