Chenge ajiuzulu!

Chenge ajiuzulu!

MJOMBA SPACING...
Space ndiyo unayotakiwa unipe mimi ya kuexpress views zangu!Hujalazimishwa kusoma all the postings!Sio kweli kuwa everybody reads all the postings!So stay on your track brother na ulete hoja badala ya vioja!M
Mbunge wa mafia ni yupi unayempigia debe?KIMBAU?
 
According to the dataz, ni kwamba alikuwa na barua ya kujiuzulu tayari toka akiwa u-China, ndio maana hakwenda US, hizi filimbi za vijisenti alikuwa anazuga tu kwani alikuwa tayari amemfahamisha rais walipopata habari tu kule China kuwa anajiuzulu mara moja,

More dataz ni kwamba kuna wanasiasa wa hapa bongo wakishirikiana na wa UK hasa Blair, wanamshinikiza Brown, asimamishe uchunguzi wa Radar uliomponza Chenge..........!

tunaendelea kuzitafuta dataz on how it happened.....mpaka Chenge kujiuzulu!
 
According to the dataz, ni kwamba alikuwa na barua ya kujiuzulu tayari toka akiwa u-China, ndio maana hakwenda US,

More dataz ni kwamba kuna wanasiasa wa hapa bongo wajishirikiana na wa UK hasa Blair, wanamshinikiza Brown, asimamishe uchunguzi wa Radar uliomponza Chenge..........!

Actually data ni kuwa CHENGE ana £15 million kwenye account moja na wala si £1million kama ambavyo wengi wanavyoamini
 
Actually data ni kuwa CHENGE ana £15 million kwenye account moja na wala si £1million kama ambavyo wengi wanavyoamini

Duh, huyu jamaa kiboko, jamani....ziko wapi hizo millions of pounds Jersey or Switzerland
 
Kwenye ripoti walisema ni pounds millioni tano zipo hapo UK, na dola millioni moja kule Jersey, US,

lakini leo imethibitishwa kuwa ni more than hizi hesabu....! kwa hiyo GT, you might be on the right dataz..thanx!
 
Duh, huyu jamaa kiboko, jamani....ziko wapi hizo millions of pounds Jersey or Switzerland

Hii inaonyesha jinsi gani pamoja na madegree aliyonayo CHENGE ni MJINGA wa AJBAU siku hizi watu huwa hawaweki pesa USWISI, CAYMAN wala JERSEY...inabidi amshitaki financial advisor wake

ale Uslam waliovamia nyumbani kwake alidhani ni wajinga?

Hivi huyu mjinga hakujua kuwa hakuna kilichofutika kwenye HARD DRIVE ya ile laptop?
 
Ili kukomesha ufisadi inabidi sheria mpya itungwe. Hivi ile hukumu adhabu ya kifo bado ipo Tanzania au imeshafutwa. Kama ipo jamani hawa mafisadi wanatakiwa wapate adhabu kali sana ili iwe fundisho kwa wengine wanaotamani utajiri kupitia mgongo wa kodi zetu. Bila hivyo ufisadi hautakwisha nchi hii.
 
Kwenye ripoti walisema ni pounds millioni tano zipo hapo UK, na dola millioni moja kule Jersey, US,

lakini leo imethibitishwa kuwa ni more than hizi hesabu....! kwa hiyo GT, you might be on the right dataz..thanx!

Kama nilivyokuambia ..hizo ndizo pesa zilizopo kwenye PUBLIC DOMAIN..and this guy sielewi kwa nini alikubali uwaziri akati he was set for life

he is not a good hustler kabisa huyu
 
Hii inaonyesha jinsi gani pamoja na madegree aliyonayo CHENGE ni MJINGA wa AJBAU siku hizi watu huwa hawaweki pesa USWISI, CAYMAN wala JERSEY...inabidi amshitaki financial advisor wake

ale Uslam waliovamia nyumbani kwake alidhani ni wajinga?

Hivi huyu mjinga hakujua kuwa hakuna kilichofutika kwenye HARD DRIVE ya ile laptop?

Kwa hili kwa kweli naamini kuna kusoma na kuelimika. Na kuwa na madegree si kipimo cha kuelimika hata kidogo, nadhani kuelimika kunakuja from inside the person. Hii ni roho mbaya. Haya mapesa yalitosha kabisa kubadili hali duni ya wananchi wa bariadi. Kazi kwao wananchi wa Bariadi wanatakiwa watumia nguvu ya umma kumvua ubunge kwa vile wao ndio waliopigia kura.
 
Wadau bado nauliza kama mbunge wa mafia ni mheshimiwa Kimbau!Kwani GT anampigia debe so i i just wanna know if still Kimbau ni mbunge wa Mafia!
 
Duh, I think it's a perfect time kwenda kuspit some game kwa yule binti yake...

I'd say this guy is dumb.....kati ya nchi zote akaenda kuweka hela UK? ndio alipewa wizara ya miundo mbinu....
 
Wadau bado nauliza kama mbunge wa mafia ni mheshimiwa Kimbau!Kwani GT anampigia debe so i i just wanna know if still Kimbau ni mbunge wa Mafia!

Siyo Kimbau ... ni jamaa mwingine tu (sikumbuki jina lake). Wapinzani wake huko jimboni kwake walishakuja kumwaga data hapa JF wakati fulani then mjadala ukaishia kuonekana kama visasi na udaku na hivyo nadhani topic hiyo ilihamishiwa kwenye forum nyingine.
 
Nimeimba sana kwanza muelewe kuwa hawa mafisadi hawajaanza leo walikuwepo toka era ya Nyerere na walikuwa wakibebwa na kulindwa na CCM.

Sasa ametokea Mzalendo kisura wetu Kikwete kwa baraka zake i mean ameruhusu system iwaweke hawa mafisadi hadharani hii ina maana wakati wa Nyerere,Mwinyi na Mkapa hawa mafisadi walifichwa na kulindwa,hawa mafisadi ni very powerful na wana mtandao mkubwa sana...huwezi ukawa rais na ukaweza kuvunja mtandao wenye mizizi takriban 50yrs overnight.

Naimba tena tumpe credit JK kidogo
 
Mwanatanu naona bado unaishi miaka ya 60..umesahau TANU iliungana na TAA na kuform CHAMA CHA MAPINDUZI!Mapinduzi hayo yalikuwa yakumkoma beberu na myonyaji!Na this time tunahitaji mapinduzi mapya dhidi ya unyonyaji na ubeberu wa wenyewe kwa wenyewe.almaarufu "UFISADI"Sasa hivi the idea kwamba Ufisadi umeanza zamani haina maana kwamba hauwezi kupigwa vita!Ukoloni,unyonyaji na ubeberu wa watu kutoka nje ulkuwa wa muda mrefu!Na ni vita vinavyohitaji kujitolea!sio vita rahisi!kuwakana marafiki na kubakia mpweke kwa muda wakati akiunda uongozi mpya wenye matumaini mapya na uwajibikaji! na kuandika chapter mpya kwenye historia ya taifa letu hili changa na kuepuka possiblity ya machafuko..na kureconcile..na kuapa kwa katiba mpya ya taifa jipya!Hiyo ndio option ambayo ni salama zaidi kwa mkuu wetu wa nchi!Hiyo ni option ya upande wa wananchi na sio wa ufisadi!Bado tunaendelea kufuatlia kwa karibu!
 
30ab861.jpg
 
Nimeimba sana kwanza muelewe kuwa hawa mafisadi hawajaanza leo walikuwepo toka era ya Nyerere na walikuwa wakibebwa na kulindwa na CCM.

Sasa ametokea Mzalendo kisura wetu Kikwete kwa baraka zake i mean ameruhusu system iwaweke hawa mafisadi hadharani hii ina maana wakati wa Nyerere,Mwinyi na Mkapa hawa mafisadi walifichwa na kulindwa,hawa mafisadi ni very powerful na wana mtandao mkubwa sana...huwezi ukawa rais na ukaweza kuvunja mtandao wenye mizizi takriban 50yrs overnight.

Naimba tena tumpe credit JK kidogo

Mwanatanu,
Achana na hizi za kujichombeza-chombeza kwa kisura Vasco da Gama. Kisura wako hajafanya lolote kuwaibua mafisadi. Isingekuwa hawa mafisadi kufanya mahesabu yao vibaya, tungeendelea kukiona cha moto wakati wao wakiendelea kuiba.

Kama kisura wako angekuwa mwadilifu, kwanini aliteua hata ambao waliokuwa wamekataliwa hapo awali, Lowassa n.k.?? JK ni wa kuondoa sio kupongeza.
 
Bado tunasubiri
1. Hosea
2.Mwanyika
3.Mkulo
4.Mgonja

na wewe Prof Mwakyusa ondoa uchafu huko Afya........JF is on the way

......dah Idumu JF!!!
 
Back
Top Bottom