Chenge ajiuzulu!

Chenge ajiuzulu!

Apewe Pombe
Pombe ndo nani?Magufuli?Mimi binafsi hutu tunafasi tumoja tumoja tusitupe kipaumbele hapa hivi sasa..we actually dont give a darn who's gonna get the spot!The issue here is the whole system!Hivi ndugu yangu mchelea mwana ni masalahi ya nani uanyasimamia hapa jf?Mimi niko upande wa wazalendo!Mabadiliko makubwa na ya kihistoria ni very iminent!Na sio mambo ya pombe wala bangi!
 
Chenge kapata ajali ya kisiasa
Siyo ajali ndugu yangu mwanahabari ni mazishi yanaandaliwa!ni kifo cha kisiasa!na kuiita ajali ni unafiki kwasababu he definetly knew what he/they were/was doing!Ajali ni kama ingekuwa walikuwa na nia nzuri lakini watendaji wachache wame walet down!The situation here is different..the guy/guys are/is the criminal(s)
 
Nimeimba sana kwanza muelewe kuwa hawa mafisadi hawajaanza leo walikuwepo toka era ya Nyerere na walikuwa wakibebwa na kulindwa na CCM.

Sasa ametokea Mzalendo kisura wetu Kikwete kwa baraka zake i mean ameruhusu system iwaweke hawa mafisadi hadharani hii ina maana wakati wa Nyerere,Mwinyi na Mkapa hawa mafisadi walifichwa na kulindwa,hawa mafisadi ni very powerful na wana mtandao mkubwa sana...huwezi ukawa rais na ukaweza kuvunja mtandao wenye mizizi takriban 50yrs overnight.

Naimba tena tumpe credit JK kidogo

Mwanatanu hujasema lolote! Nyerere hakuruhusu viongozi kuila nchi namna hii, ushahidi tunao! Viongozi waliondolewa madarakani hata kwa kujenga nyumba mbili tu! sasa wewe unatuambia Kikwete nini?
 
Hili sio tatizo la JK!!! Ni tatizo la kitafa...

  1. Nani alimchagua Chenge kuwa Mbunge ambayo ndiyo sifa no.1 ya kuchaguliwa kuwa waziri?
  2. Nani alimchagua Chenge kuwa mjumbe wa NEC ya CCM? JK au wanaCCM?
Kuwa makini kidogo, Sio kila kitu ni cha Rais vingine ni vya jamii nzima tuliyonanyo!!! sasa imebadilika... lazima tuelewe hivyo... Na JK anatuongoza vyema kwenye mabadiliko haya kwa kukubali wanaojiuzulu wajiuzulu...


Wewe mbona onaongea kama vile mvivu wa kufikiri,rais kuchagua wasaidizi wake hukusanya data zake kutoka utumishi na usalama plus yeye mwenyewe pia uwezo wake wa utambuzi.Sasa wanainchi wana facilities zote hizo,ok na hata kama wanainchi walikosea kwa hiyo na rais kama yuko competent nae akosee .Pili kwani yuko pekee yake mpaka tuseme alikosa chaguo jingine.

Halafu acha kumpa sifa zisizo za kwake anatuongoza vizuri kumchagua mtu mchafu mara mbili licha ya watu kupiga kelele?mpaka SFO kutoka UK ndio wanafanya uchunguzi serikali inaulizwa ina sema nayo inashangaa kapata wapi hizo pesa labda kauza ngombe wake!
Sasa wewe unamsifia rais kukubali ajiuzuru wakati rais alitakiwa kumpiga chini hapa sijui unasifia nini ?
Na ili tusiwe tunaenda mwendo wa kwaya hatua moja mbele moja nyuma inatakiwa pesa zirudi na riba ,kodi si kujiuzuru tu itaposibitika mahakamani.
 
Mwanatanu hujasema lolote! Nyerere hakuruhusu viongozi kuila nchi namna hii, ushahidi tunao! Viongozi waliondolewa madarakani hata kwa kujenga nyumba mbili tu! sasa wewe unatuambia Kikwete nini?
Kama Kikwete asipofanya mabadiliko makubwa,kureconcile na kuwaomba radhi wananchi..then wananchi wataanza kujiuliza hivi kweli ni kwanini mwalimu aligoma kiasi cha kutisha kuhusu yeye mh rais kuingia ikulu!Je kuna kitu mwalimu alikuwa anakiona na sisi wananchi wa kawaida tukashindwa?Ni nini hasa kilimfanya mwalimu apingane na wananchi walio wengi wakati wa kampeni yake dhidi ya Kikwete na Lowassa?Mh rais kama kweli unataka kuwa upande wa historia..then chukua maamuzi yatakayotufanya tukubali kuwa mwalimu hakuwa sahihi alipokuwa akisema hufai kuwa rais wa nchi yetu!Ni wakati wako mh rais kupingana na dhana ile ya mwalimu(Mungu amlaze pema)kuwa you cannot run the country!It is very important for his excellence to utilize this precious historic and defining moment in the politics of our poor yet beautifull and young nation of ours!May God continue to bless our country and its people!
 
Sasa huyu anaenda kimwya kimya,sijui atapata ngapi for his silence? Mwanakjj salamu zilifika, ila jamaa mkali kweli...maana naye amekuwa Bangusilo, wenzake wamemgeuka.
 
Mwanatanu hujasema lolote! Nyerere hakuruhusu viongozi kuila nchi namna hii, ushahidi tunao! Viongozi waliondolewa madarakani hata kwa kujenga nyumba mbili tu! sasa wewe unatuambia Kikwete nini?

Nyerere kosa kubwa aliofanya ni kuwalinda vijana wake kama alivyokuwa akiwaita. Alikiuwa hawajibishwi bali tu kuwabdilisha wizara, ndipo alipo mleta Shujaa Marehemu SOKOINE ili aanze kukata ile mizizi ambayo tayari ilishaanza kukomaa.....mistake aliyofanya shujaa ni ile speed alokuja nayo.

List ni ndefu mafisadi during Nyerere...Kina Msuya.Mungai,Mramba,Mwaikambo,Nsekaela.....je unataka nizidi kuendelea?
 
Hivi lets be real kidogo here....Swali...Chenge has 25 million and all these funds magically appeared recently (EPA, BOT?) also Tangold Money from Deep greenfinance, if he was just the funds man....How much did the higher ups make (Mkapa, Rostam, Lowassa, Muungwana and others)...anyone can give us a ballpark figure. I am certain the "vijisenti"comment referred as to who got what.
 
Nyerere kosa kubwa aliofanya ni kuwalinda vijana wake kama alivyokuwa akiwaita. Alikiuwa hawajibishwi bali tu kuwabdilisha wizara, ndipo alipo mleta Shujaa Marehemu SOKOINE ili aanze kukata ile mizizi ambayo tayari ilishaanza kukomaa.....mistake aliyofanya shujaa ni ile speed alokuja nayo.

List ni ndefu mafisadi during Nyerere...Kina Msuya.Mungai,Mramba,Mwaikambo,Nsekaela.....je unataka nizidi kuendelea?
Hao wakina Mungai na Msuya walikuwa wanadonyoa donyoa tu!Mambo kamili yalianza awamu ya tatu!Nchi iliuzwa kwa bei ya jumla!Serikali ya awamu ya tatu ilitumislead kwenye transition period in privatarazation!wakajipanga kama genge la kigaidi na kujigawia mali ya umma na kuwa wakoloni wawakilishaji wa ukoloni ndani ya taifa letu huru!Mh rais asipofanya mabadilko kuna uwezekano wa machafuko kwani nchi imeshagawanywa bila kuzingatia maslahi hata chembe ya wananchi wa kawaida na masikini!Ni vigumu kwa issue kama hii kupotea kwasababu gap kati ya masikini na matajiri inaendelea kuwa kubwa na resentment inaongezeka na kupelekea matabaka na migawanyiko hatari!Kama Kikwete asipofanya hivyo..then wana jf niko radhi kutabiri kuwa kuna mwananmapinduzi atakayekuja na kubadilisha siasa zetu na kuanza upya!Trust me.. i can clearly see it happening!yetu macho!Mark ma words guys!
 
Kama Kikwete asipofanya mabadiliko makubwa,kureconcile na kuwaomba radhi wananchi..then wananchi wataanza kujiuliza hivi kweli ni kwanini mwalimu aligoma kiasi cha kutisha kuhusu yeye mh rais kuingia ikulu! Je kuna kitu mwalimu alikuwa anakiona na sisi wananchi wa kawaida tukashindwa?

Ni nini hasa kilimfanya mwalimu apingane na wananchi walio wengi wakati wa kampeni yake dhidi ya Kikwete na Lowassa ?Mh rais kama kweli unataka kuwa upande wa historia..then chukua maamuzi yatakayotufanya tukubali kuwa mwalimu hakuwa sahihi alipokuwa akisema hufai kuwa rais wa nchi yetu!

Ni wakati wako mh rais kupingana na dhana ile ya mwalimu(Mungu amlaze pema)kuwa you cannot run the country!It is very important for his excellence to utilize this precious historic and defining moment in the politics of our poor yet beautifull and young nation of ours!May God continue to bless our country and its people!

Mkulu sababu Mzee JKN (Mungu amlaze mahali pema peponi) alimtaka MKAPA....Je Mkapa was he better than JK?
 
Hivi lets be real kidogo here....Swali...Chenge has 25 million and all these funds magically appeared recently (EPA, BOT?) also Tangold Money from Deep greenfinance, if he was just the funds man....How much did the higher ups make (Mkapa, Rostam, Lowassa, Muungwana and others)...anyone can give us a ballpark figure. I am certain the "vijisenti"comment referred as to who got what.

how certain are you...
 
Hao wakina Mungai na Msuya walikuwa wanadonyoa donyoa tu!

Mambo kamili yalianza awamu ya tatu! Nchi iliuzwa kwa bei ya jumla! Serikali ya awamu ya tatu ilitumislead kwenye transition period in privatarazation! wakajipanga kama genge la kigaidi na kujigawia mali ya umma na kuwa wakoloni wawakilishaji wa ukoloni ndani ya taifa letu huru!

Mh rais asipofanya mabadilko kuna uwezekano wa machafuko kwani nchi imeshagawanywa bila kuzingatia maslahi hata chembe ya wananchi wa kawaida na masikini! Ni vigumu kwa issue kama hii kupotea. kwasababu gap kati ya masikini na matajiri inaendelea kuwa kubwa na resentment inaongezeka na kupelekea matabaka na migawanyiko hatari!

Kama Kikwete asipofanya hivyo..then wana jf niko radhi kutabiri kuwa kuna mwananmapinduzi atakayekuja na kubadilisha siasa zetu na kuanza upya!

Trust me.. i can clearly see it happening!yetu macho!Mark ma words guys!

Nakubaliana na wewe kabisa sasa jamani si angalau hawa mafisadi walikuwa ghost sasa at least wametolewa hadharani....hauoni kuwa at least it is an inch forward?

Kitu sasa ni kuomba kuwa speed iwe kali lakini vilevile kuna madhara yake yasije yaliyompata shujaa wetu Sokoine.

I believe hii nchi yetu one day itakuwa yes.
 
Mkulu sababu Mzee JKN (Mungu amlaze mahali pema peponi) alimtaka MKAPA....Je Mkapa was he better than JK?
Nilisema Mkapa alificha makucha yake lakini Field Marshall akapinga..nenda kaangalie hotuba ya Lipumba waliyoiposti wakati wa maandamano juzi!Alisema kile nilichokuwa nikisema kwenye ile thread nyingine kuhusu yule mtu wa karibu wa Mkapa!Jamaa aliweza kujificha na alisaidiwa sana na tukoti twa kiconservative kama kile alichovaa pinda wakati wa kutangazwa kwake kuwa ni waziri mkuu!Wakina Kikwete na Lowassa walimwogopesha mwalimu kwasababu ya mwonekano wao na ujana wao na hivyo kuona ama kufikiri kuwa hawa hawatakuwa conservative enough na hawata negotiate vigorously kwa maslahi ya taifa wakati wa mikataba ya kuikabidhi nchi yetu back kwa wakoloni!Kwa kusaidiwa na mapandikizi ya kikoloni..mwalimu alichelea!lakini hakuwa na machaguzi mengi kwasababu tatizo kubwa la mwalimu ni kuwa "paranoid" wasiwasi all the time na hivyo kuwabadilisha tu wizara kwani alikuwa anataka ku cling na watu ambao bado wanasema "ndiyo mzee" kwani hao hawana hatari yeyote na madaraka yake!That was the past!Now we worry about the future..because the current moment is clearly a defining one!
 

Kama nilivyokuambia ..hizo ndizo pesa zilizopo kwenye PUBLIC DOMAIN..and this guy sielewi kwa nini alikubali uwaziri akati he was set for life

he is not a good hustler kabisa huyu


kweli pesa zote kwa nini uzitumbue mpaka afe au asianzishe angarau viwanda hapa awape wanainch ajila kutupumbaza tuone kafanya la maana.
Ila ndio hivyo hawarizi-kagi ndio maana mwl alisema ukianza kula nyama ya mtu huachi utaendelea tu,ndio haya.
 
Back
Top Bottom