Chenge ajiuzulu!

Chenge ajiuzulu!

Hivi watanzania tumeishiwa sifa za ushujaa au ndiyo kumpaka mtu mafuta kwa mgongo wa chupa? Hivi nani amesahau uzalendo wa kina Nyerere, kawawa na wengineo. hivi kweli Kikwete si mwanajeshi unafikiri na yeye alikuwa mstari wa mbele wakati wa vita vya kagera? Mashujaa na Wazalendo hawaogopi kufa!
Ni mawazo yangu binafsi tu!Mawazo ambayo najaribu kuona ni kwa njia gani Mh Rais atayamaliza haya bila nchi kuingia kwenye vurugu na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe!Kwasababu tusidanganyane Kikwete hawezi kujiuzulu labda itoke damu!Na hatutaki vurugu kwasababu dola anayo yeye..ila anatakiwa ajue kuwa tukiamua ku resort kwenye "nguvu ya umma"..then issue itakuwa ya nani apigane upande upi..hapo ushabiki utafunika hata issue muhimu za taifa!Narudia tena ni ushauri tu ambao unawezekana..tusifikirie how to possiblelize the impossible...i dont know if you're aware that there are impoosibles that can never be possiblelized and that there are also false dreams as well as memories!
 
Nyani,
Naomba kuelewa zaidi. Una maana Kikwete alikuwa anafaulu vizuri mitihani, au unawazungumzia watu wa pembeni waliokuwa wanamshabikia? I am interested to know about his academic performance and background, huko nyuma na hata hapo Chuo Kikuu Dar. Hii inaweza labda kidogo kusaidia kumfahamu vizuri kiongozi wetu huyu.

Nimetafuta mambo muhimu na ya kipekee aliyoweza kuyafanya akiwa waziri katika wizara alizowahi kuziongoza nimetoka patupu. Sijaona hotuba wala uamzi uliojitokeza kumjengea sifa hadi waTanzania tukaona anafaa kuwa Rais. Bado ninaendelea kujiuliza, ni sifa zipi hasa zilizotuvutia?

Watanzania inabidi tuwe na utamaduni na utaratibu wa kumchambua mtu anayetaka kuwa kiongozi. Tusiwe tunaongozwa tu kama ng'ombe kuwakubali viongozi tunaoletewa na vyama bila ya kuhoji.

Nazungumzia wale waliokuwa wakimshabikia...
Academic perfomance yake nadhani ilikuwa a litle below average..C-
 
Ni kweli ana vijisenti kwani mabilioni yako kwa Mkapa, Mramba na yona bila kuwasahau Mungai na Magufuri.
 
Ni kweli ana vijisenti kwani mabilioni yako kwa Mkapa, Mramba na yona bila kuwasahau Mungai na Magufuri.
Who cares kuwa alisema hivyo ili kuwaumbua wenzake?Hiyo sio ticket kwamba mzee wa vijiseti hana hatia!Yote ni majangiri tuu!
 
Mimi naona hawa watu wote waliohusika katika ufisadi hasa wenye (mabilioni) ....wanyang'anywe pasipoti zao mara moja....ili wasitokomee.....kama alivyofanya gavana Balali.
 
Ni kweli ana vijisenti kwani mabilioni yako kwa Mkapa, Mramba na yona bila kuwasahau Mungai na Magufuri.

Of all the people Magufuli?! siamini, labda umweke katika mamilionea....mabilionea jamani. Ubilionea waachie Mkapa na washkaji zake.
 
Ili kukomesha ufisadi inabidi sheria mpya itungwe. Hivi ile hukumu adhabu ya kifo bado ipo Tanzania au imeshafutwa. Kama ipo jamani hawa mafisadi wanatakiwa wapate adhabu kali sana ili iwe fundisho kwa wengine wanaotamani utajiri kupitia mgongo wa kodi zetu. Bila hivyo ufisadi hautakwisha nchi hii.
Kweli wawajibishwe..kabla ya kuanza kufikiria nani apewe nini ili watakaoukuja wajue madaraka sio tiketi ya utajiri bali kuwatumikia wananchi na kuwalinda wao na mali zao!
 
Adam lusekelo
Daily News; Sunday,April 20, 2008 @00:04


Yesterday I went to my favourite watering hole and started dreaming - what will I do with a million bucks (1.2 billion Tshillings) after I have successfully stolen from the people of Tanzania?

I will first start by buying a shangingi. It will be custom made, with a bedroom which vibrates, bar and things. Naturally it will have air-conditioning automatic deodorants which emit scents after reading my mood.

Like any normal man, with all that offshore dosh at my disposal I will get myself an offshore chick or two, or three. Or even four! I will also get a year's supply of "Viagra" or "Cialis" to rev up my system up. What's wrong with four offshore chicks eating from my hands. I will buy all of them a Rav-4, or a Merc each or even a shangingi if they demand one.

If one of my concubines dares as gets a pimple on the nose, I will insist that she sees a acne expert in London, Paris or New York. Tanzanian doctors don't have the expertise to pinch pimples because these are not normal pimples they are offshore pimples!

I will have a public relations office to buy some trash calling themselves "journalists". They go for a song and their job will be to make me look great in some trashy papers. Thankfully as a Tanzanian politician I will know that and take appropriate measures.

It's a year and a half before the farce we call elections starts. So I will have my media goons on the ready. I will even approach some musicians who will bay out and extol, not my thieves skills, but my virtues of goodness.

Needless to say that I will be buddies with the inspector- general of police and director of the Anti-Corruption squad. Very useful guys to know, if you get my drift. My financial sums could go a bit awry and so I will need have some back up to boost my offshore accounts.

I could start a project to call investors to start making a rain making project. The idea is that the rain should fall into the Mtera dam - spot on. Everyday. Naturally I will have the majority shares in this enterprise. Then I could go to Rome to say "hi" to the Pope. One needs to thank the Almighty for a good fortune. Some malicious people call it stealing, while I call it being clever with a pen. Wivu tu!

A loud bang and I was woken up from my dream. The waiter wanted his money. I rummaged through my pockets and realised that I had left my "fortune" at home. I lied to the bar owner that I will pay the next day. I have not been seen in that part of Dar for a week!
Mbwene2@yahoo.com
 
Nashangazwa sana.. wewe unafikri kwa power ya Rais kina Mwakyembe wangeweza kufanya hiyo shughuli bila blessing zake?

Je hawa jamaa wa SFO bila idhini yake wangeingia nchini na kudai mafile ya Chenge? mbona wameshindwa kuingia Saudi au South Africa hata pale BAE kuna mafile ambayo wamekataliwa wasiyaonne

Je unadhani wakati wa Mkapa au mzee Ruksa tungeyaona haya? siasa is a dirty game

Unafurahisha wewe kwa nini kazi ufanyiwe na Shirika la nchi nyingine? shirikisha ubongo wewe ktk maongezi yako!Akatae kuchunguzwa kwa chenge unajua budget ya Tz inatoka wapi ?Saudi unajilinganisha nao kwanza hiyo pesa ndio kweli wao wanaweza kuita senti.Jamaa uwemebana pa baya au ujuhi kuwa wametishia kutochangia budget .
Kuhusu bunge inahusiana nini na rais ,unajua kweli unachoongea wewe?Wakina Mwakyembe wamechaguliwa na wanaichi JK hana kauli kukizingatia si mawaziri wakaweka mambo adharani wewe unadai JK kama ingekuwa yeye akerudi kinyumenyume kumsafisha EL kama alivyofanya na kujitia aibu?THINK!!!!!!!!!
Wakati wa Mkapa muulize Kiula au kama unafatilia unajua kwa nini kiula anataka Mkapa ashitakiwe.
 
Kujiuzulu ni one step, inabidi afikishwe mahakamani.

Chenge man, na wewe ni bangusilo au utawataje mafisadi wenzio mlioshirikiana kusign mikataba feki na mrudishe zile 10% mlizokatiwa plus tax.

Hii ngozi ya mamba.
 
Back
Top Bottom