lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,452
- 21,894
Mechi ya Leo kati ya Chelsea na Norwich City ni mechi kati ya
- Mabingwa wa Ulaya dhidi ya mabingwa wa Championship
- Timu inayoongoza ligi dhidi ya timu inayoshika mkia kwenye ligi
- Timu iliyoshinda mechi 6 kati ya nane ilizocheza msimu huu dhidi ya timu iliyopoteza mechi 6 kati ya nane ilizocheza msimu huu
- Chelsea imeshinda mechi 10 kati ya 12 ilizocheza na Norwich City ikitoa droo mara mbili