Hayo umesema wewe mimi sijamaanisha hivyo. Kwanza Chelsea hatujasajili mchezaji wa jina unalolitaja.Bora mmeshagundua kuwa jamaa ni muhujumu uchumi tu hana jipya
Hat trick safi kabisa.Mason Mount has scored more goals for Chelsea than any other player under Thomas Tuchel View attachment 1984297
Mkuu Chelsea imekamilika kila idara. Wanadefence vizuri hawataki kabisa kuruhu magoli. Hii timu naipenda sana. Chelsea for RealChelsea anachofanya ni uonevu


Hii ya kila mchezaji ni mfungaji inafunika madhaifu ya washambuliaji kutofunga magoli
Hadi sasa Chelsea imefunga goli 23 zaidi ya timu zote
Imefungwa goli 3 tu
GD ya 20
Mwendo mdundo
Wanaochukia wakameze wembe au wajipake oil chafu


Ungekuwa uliangalia ile match lile swali usingeulizaNo! Vipi alitupia? Maana vitimu vya hivyo ndio anaviweza
Itakuwa alipata majeuhiUngekuwa uliangalia ile match lile swali usingeuliza
Yeah na ndio timu inaongoza ligi kwa mabeki kufunga na wameshatumbukiza magoli 19 kwa mechi zoteDefensive team they say![]()

Hahahahahahaha uuuwiii nilikuwa pori huko nakusanya mpunga ..hahahaha eeti wadau ngapi iyoo..??!
Wachambuzi wa soka bongo wanakosea sana haya maneno:Mkuu Chelsea imekamilika kila idara. Wanadefence vizuri hawataki kabisa kuruhu magoli. Hii timu naipenda sana. Chelsea for Real
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app