Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,174
- 26,912
Walevi Wana makombe tunanywea biaMimi sibishani na mlevi anayekunywa KIWINGU ...
Local bia![]()
Nyie hamna makombe ya UEFA Mnadai mko sober

Walevi Wana makombe tunanywea biaMimi sibishani na mlevi anayekunywa KIWINGU ...
Local bia![]()

Nasemaje tafutenj kwanza UEFA Ndio tutakutambuaMimi nasema hivi hatuna shida na hizo sijui eufa ,and tutaendelea kutoa dozi nzito kwa timu takataka Kama Chelsea .....
Hakuna namna nyingine
Kiungo mfungaji, viungo wanaomfikia hapo kutoka Chelsea kwa uifungaji ni Mount tuYouri Tielemans has rejected Leicester City’s latest offer of a new contract and is continuing to weigh up his options. Chelsea are one of the teams interested.
- @GraemeBailey View attachment 1981931
Na Saul kaja kufanyejeDah huyu mtu akija...
odoi mechi alizocheza kama winga ya kushoto anakua na kitu cha kuoffer kuliko kumchezesha kama wingbackThe BLUES vs Norwich City
----------- Odoi ---- Harvetz ----- Mount ---------------
Chilwell ------ Joginho ------ Kante -------James
------- Rudger ---- Thiago --- Christensen --------
Tutashinda hii mechi kwa magoli sio chini ya mawili
Harvetz atafunga goli
Tunabeba POINT 3 muhimu
![]()
Hawapishani sana Japo namuona Youri Tielemans kama ni mzuri zaidi.Kiungo mfungaji, viungo wanaomfikia hapo kutoka Chelsea kwa uifungaji ni Mount tu
Huyo atarudi kama alivyokuja.Na Saul kaja kufanyeje
Lakini tumemzidi pointKuna kutokufungwa magoli mengi lakini ukastruggle kufunga magoli mengi ukazikosa point 3
Kuna kufungwa magoli mengi lakini ukafunga magoli mengi zaidi ya kukupa point 3 muhimu.
Liverpool anafungwa magoli lakini anamvurumisha mabao ya kutosha opponent wake.
Mimi nasema hivi hatuna shida na hizo sijui eufa ,and tutaendelea kutoa dozi nzito kwa timu takataka Kama Chelsea .....
Hakuna namna nyingine



acha kujisaulisha tumekupiga mara tatu Leo umesahau ee. Tukakunyanganya na kombe kubwa mdomoni sasaivi unatokwa na udenda tu. Were the champion ,hatuhitaji uefa kutembeza fimbo kwa timu Kama Chelsea ...Nasemaje tafutenj kwanza UEFA Ndio tutakutambua
Na pia inaweza ikawa bad day at the office kwao kwamba mastriker wakawa hawapo ktk siku Yao na huku upande WA pili wakaruhusu magoliKuna kutokufungwa magoli mengi lakini ukastruggle kufunga magoli mengi ukazikosa point 3
Kuna kufungwa magoli mengi lakini ukafunga magoli mengi zaidi ya kukupa point 3 muhimu.
Liverpool anafungwa magoli lakini anamvurumisha mabao ya kutosha opponent wake.
Wameshiriki hadi sasa kwenye magoli 17 yaliyofungwaOur back line’s contribution in attack this season:
Thiago Silva ⚽️ 🅰️
Christensen ⚽️
Reece James ⚽️🅰️🅰️🅰️
Ben Chilwell ⚽️⚽️
Chalobah ⚽️⚽️
Marcos Alonso ⚽️🅰️
Rudiger ⚽️
Azpilicueta 🅰️🅰️🅰️
Unreal.
Hapa hautajikaWere the champion ,hatuhitaji uefa kutembeza fimbo kwa timu Kama Chelsea ...
Katafute jf yako uiweke chumbani kwako ,ndio sitakuja huko ...Hapa hautajika
Hapa tuna discuss sisi kama sisi fans wa Chelsea
Na tunawakaribisha mashabiki wa Liverpool na man u
Asernal na Man City ni underdogs wanaleta uchafu hapa jukwaani
Hili sio jukwaa la hadhi yenu
Bebeni kwanza UEFA this is a place for grown ups teams
U still kids