Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jorginho vs Malmo (H):

2 goals
72 accurate passes (87.4%)
3/4 long balls completed
8 tackles
3 interceptions
12 recoveries

• Most Goals [2]
• Most Tocuhes [104]
• Most Duels Won [8]
• Most Recoveries [12]
• Most Tackles Attempted [8]
• Most Interceptions [3]

The metronome of the team 💪🏼
 
Kai hapendi jezi za pink z magoli kipa nn
IMG_20211021_105151_005.jpg
 
King Kai 3rd goal.

Hapo angekuwa MOUNT angembabua kipa usoni View attachment 1981436
One of the finest finisher, sijui kwa nini hafungi magoli mengi labda ni uchezaji wetu kule mbele sio programatic
Chelsea wakiendelea kucheza kama jana first half uhakika wa kubeba makombe mengi msimu huu upo
Jana walikuwa ni kutafuta goli tu, kuremba remba jana hakukuwepo first half lakini waliporudi second half hasa baada ya sub ya dakika ya 60+ walirudi kwenye deffault, pasi nyingi za nyuma na side ways
 
Huyu Kai Labda acheze km false 9 ndo atashine km jana
 
Ma Cheltako huwa yanaumia kweli kweli yakiona timu kubwa duniani inauwaaa
Eti Chelsea inaumia tunashinda makombe kika mwaka tunaumia wapi we mzee

Ngoja siku tukikutana tule slab head magwaya na yule lofa lindelof na lile pazia lenu la dada geah tutazichapa Sana

Nyie wenyewe mnaelewa na mnaogopa

Ushinde wenye wa Jana mmeshida kimazabe zabe tu .

Timu ndogo kama.atalanta inawatoa jasho

Babu CR7 ataoabidhiwa kwa silva na rudiger watamweka kwapani Christensen atawaweka kwapani wote waliobaki

Timu gani halina kocha asiyejua hata mbinu za mchezo manajiendea endea tu

Huu msimu lazima mmalize 10+ huko

Wakati sisis tunabeba ndoo
 
Hili ni group la Europa ,halina hadhi ya kucheza CL kabisaa daaa ....

Sitapotez muda kuaangalia hiziz takataka....
Hatuna shida na wewe. Pambana upate hata kikombe cha chai cha Uropa.

Man City hana kombe lolote la UEFA.

UEFA Champions league 0
Uefa Europa league 0
UEFA Europa Conference league 0
UEFA SUPER CUP 0

ALAFU UNAPITA HUMU UNAONGEA ONGEA TU.

KOMA UPATE HATA KIKOMBE KIMOJAWAPO HAPO JUU NDIYO UPITE HAPA

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Na tumekusokomeza ukuni hapo kwako darajan epl.....

Sisi hatuna shida na hayo makombe by the way ,yakija okay ,yasipokuja tunaendelea kutandika vinabo Kama nyie epl and life goes on.......
 
Na tumekusokomeza ukuni hapo kwako darajan epl.....

Sisi hatuna shida na hayo makombe by the way ,yakija okay ,yasipokuja tunaendelea kutandika vinabo Kama nyie epl and life goes on.......
We fala eti hamna shida na makombe

Ndio maana tunasema man shit ni underdogs tu kiklabu kidogo tu hakina fans hakina mashiko.

Tafuteni UEFA kwanza ndio tuelewane hapa unatupigia kelele na kutujazia kiwingu
 
Mimi sibishani na mlevi anayekunywa KIWINGU ...

Local bia
 
We fala eti hamna shida na makombe

Ndio maana tunasema man shit ni underdogs tu kiklabu kidogo tu hakina fans hakina mashiko.

Tafuteni UEFA kwanza ndio tuelewane hapa unatupigia kelele na kutujazia kiwingu
Mimi nasema hivi hatuna shida na hizo sijui eufa ,and tutaendelea kutoa dozi nzito kwa timu takataka Kama Chelsea .....

Hakuna namna nyingine
 
Mimi nasema hivi hatuna shida na hizo sijui eufa ,and tutaendelea kutoa dozi nzito kwa timu takataka Kama Chelsea .....

Hakuna namna nyingine
We achakutupigia kelele shabiki wa man city ni wewe pekee yako tu uoni aibu kuja huku kubishana na bigwa wa ulaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom