Kwa tunaoangalia mpira live ,sio watu wa live score ...

Chelsea haina kitu ,inabahatisha tu ,niamini Mimi ...
EPL ndio kombe la wanaume Wewe ,mlima wa game 38 unalinganisha na hizo group stage - quarter final - semi final - final ....

EPL ndio mwananume

League huwezi chukua kizembe namna hio ,wanaume tu ndio wanachukua league ...

Kwa tunaoangalia mpira live ,sio watu wa live score ...

Chelsea haina kitu ,inabahatisha tu ,niamini Mimi ...

League huwezi chukua kizembe namna hio ,wanaume tu ndio wanachukua league ...
Najua unaongea tu lakini nafsi inakubali kwamba Chelsea ni timu Bora😀😀😀. Na unatamani kuwa shabiki wa Chelsea sema tu haujui uanzie wapi mkuu😀. Infact tunakukaribisha Sana karibu kwenye chama la kushinda matrophies, magold 🏅🤣🤣.
 
Hapa alikuwa ball-boy 👇

IMG_20210812_214608.jpg

Hapa ni mwamba aliyetupa super cup, raia wanasema tuachane na Kounde na tufanye kazi nae 👇

IMG_20210812_214530.jpg
 
PSG ndio wamefanya usajili wa maan msimu huu tena kwa buree
  1. Wijnaldum = kasajiliwa bure
  2. Donnarumma = kasajiliwa bure
  3. Leo Messi= kasajiliwa bure
  4. Sergio Ramos= kasajiliwa bure
  5. Achraf Hakimi = €60 million
 
Back
Top Bottom