Mishahara yao sio ya kitoto,PSG ndio wamefanya usajili wa maan msimu huu tena kwa buree
- Wijnaldum = kasajiliwa bure
- Donnarumma = kasajiliwa bure
- Leo Messi= kasajiliwa bure
- Sergio Ramos= kasajiliwa bure
- Achraf Hakimi = €60 million
Watakachokileta ni kubwa kuliko hiyo mishahara, majina makubwa wanaipaiza profile ya timu hata kwenye matangazo na uuzaji wa jezi na sanaa zingine za klabu. Mesi in particular ataofa vitu viwili, jina na magoliMishahara yao sio ya kitoto,
We mshabiki wa timu gani!?Mashabiki wa Cheltakoo ni wachache sana wanaojielewa, ni dunia nzima sio bongo tu Inferiority Complex wazee.
Arsenal huyo bwegeWe mshabiki wa timu gani!?

Na ni bwege kweli kweliArsenal huyo bwege
Wana hamu ya kuhamia Chelsea ila wanashindwa mbinu ya kujaNa ni bwege kweli kweli
Sijui wanaishije huko, lazima watakuwa wanapata ushauri nasaha ili wasife mapema na litimu lao limebakia historia tu, Hata kununua Abraham hawawezi
KDB for lifeeeeMIDFIELDER OF THE SEASON
IT HAS TO BE NGOLO KANTEView attachment 1890672
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyo ni Arsenale ambao tayari walishajifia kitambo hukoWe mshabiki wa timu gani!?
Mbona kitambo sana na documents zinaliwa na vumbi kabatiniLukaku ameshamwaga wino?