42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,813
Wewe matakata Man city mnajitapa mna hela ila mchezaji wa gharama mliyewahi kumnunua ni Ruben Dias mmemnunua £64.Nyie level zenu ni kina kai ,werner .... wachezaji wa kwenye mafungu ya nyanya
Hamna uwezo wa kumsajili haaland ,never ever
Pale chelsea Kai amenunuliwa kwa £72 kepa alinunuliwa kwa £72.
Hivi kati ya nyie na sisi nani ananunua wachezaji wa mafungu?