Big up BrooMmeingia mlijua hamna cha kupoteza. Mnatengeneza nafasi nzuri za kufunga sema tu Werner anakuwa kama Mugalu.
Mnashinda hii game.
Yule dogo tulimuuza kisenge sana...Ndio kapakatwa now yuko njee anajikanda na barafu aamini alichokutana nacho
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Habari mkuu?Mende iangushe kabati sirahisi.
Mlete mlete waifuCheltako mkishinda nawapa mimi na wife wangu kama bonus kutesa kwa zamu wenzenu manulee tushapoa vifuraha vimeanza kurejea.
Nyamaza wewe maureHongereni sana aisee cheltako, mnaenda kuwa wakubwa sasa.
Acha kunya kitandani ukiota kijana kumeshakuchaMende iangushe kabati sirahisi.
Hatumtaki tena tunaenda Porto kusherekea ubingwa